LEMA: Ni maandamano tu, hakuna kurudi nyuma

ni bora hivyo kuliko amani ya kinafiki
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.
 
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.

Na Hamisi Kigwangala, Rostamu Azizi ni wa kinani?
 
anasisitiza mara kadhaa kila mbunge wa CCM akisimama kuchangia HOJA anaanza kwa kujielekeza moja kwa moja kuponda maandamano kama vile ni mkakati wa Kichama kuwadhoofisha CDM. Maandamano yataendelea usiku na mchana.

Mkuu huyo Lema asipate majotro .Miye nimeanza kuandamana chumbani kwangu, alete posho tu ya milage!!!!
 
Hata kama CCM wanabeza maandamano, bila kuuta mbio za mwenge. Wanajidanganya wenyewe. Tunajua Maandamano, Mikutano, Makongamano ndio njia itakayo likomboa Taifa. CDM Songa mbele kwa kiburi.
 
Katika mchango wake aligusia kuiomba serikali itenge pesa ya kujenga Machinga Complex Arusha?
 
quote_icon.png
*Originally Posted by*kazuramimba*
huyu muhuni hajali kabisa hutu.Anataka Tz iwe kama somalia.Maandamano yasiyokuwa na tija hasa ya chadema hayawasaidii lolote maskini wa Tz.Kwanza 2meshajua huyu si mtanzania ni mungiki anayetaka kuigeuza Tanzania Afgastan.

Mkubwa inaonesha wahuni hujawaona, wahuni ni hao wanaosamehe makampuni ya madini kodi alafu wanataka kuwatoza kodi wenye maduka ya pipi kijiti, mchele na unga, wahuni ni hao ambao kila mwaka ikifika bajeti wanawaza kuongeza bei kwenye vinywaji wakati nchi ina rasilimali mpaka sasa zinagunduliwa mashuleni lakini watz wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku. Kaa chini ufikiri kabla hujajibu. LEMA oyeeeeeeee. Ar. tuko pamoja na ww

 
Is he an asset or liability? you know the answer...

Anyway hivi maandamano yakikoma na style za mitulinga zikikoma CDM Mh. GL atakuwa je?

JIBU
Atakuwa na AMANI na malengo yake yatakuwa yametimia
kama mpambanaji yoyote aliye vitani akishinda vita anakuwa huru.
Aksante na karibu tena kwa maoni.
 
Ukweli ni kwamba CDM ni chama cha siasa kama vilivyo vyama vingine hapa Tanzania. Kina haki ya kuandaa maandamano sawa na vyama vingine. Sasa sielewi kwenye mijadala ya Bunge hoja ya maandamano ya CDM inazungumziwa kila wabunge hata wa vyama vingine wanapochangia.

Nilimshangaa sana Mhe. A. L. Mrema wakati akichangia kuhusiana na mpango wa miaka mitano. Yeye ni mwenyekiti wa chama kwanini haandai maandamano kwa chama chake? Hivi wanadhani wananchi wote wanaojitokeza kwenye maandamano ya CDM ni wajinga? Kama maandamano ni njia wanayoitumia CDM kuwafikia wananchi na kuwauzia sera na hoja zao wao kinawauma nini? Kwani wamekatazwa nao kuyaandaa ya kwao?

Maandamano yataendelea na yaomba yaendelee hadi hapo hali za maisha ya watanzania itakapobadilika. Watanzania tunajua sasa kuchagua na kutofautisha pumba na mchele. Ajenda na hoja zilizokufa za umaarufu wa wanasiasa uchwara kama A L Mrema na wenzake hazina nafasi katika kizazi cha sasa. ALUTA CONTINUAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom