J3 wapinzani waendelee kuzuia huo muswaada .Pamoja na Kinana kuwalipua wabunge wa ccm kwamba wana pitishapitisha tu sheria zinazoumiza wananchi bado yanaendelea kukubali

Mkuu ni kama hujaeleweka,unataka ipitishwe kwa maslahi ya nani Kama ya wanachi hutaki
Wapo dodoma tayari kamanda ngoma ndio kwanza mbiiiichiiii jumatatu tunaanza moja mpaka wafukuze ukawa wote
Wapi Kafulila aisee
Leo makamanda wa ukweli katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wamefukuzwa Bungeni.
Kwa hiyo nawasihi makamanda wengine kama Lema na Sugu, kesho waende bungeni wakaongeze nguvu iliyopungua.
Sisi wananchi tuliyo wengi tunaamini Lema, Sugu wakienda bungeni wakishirikiana na makamanda wengine kama vile Wenje, Halima Mdee, Moses Machali, James Mbatia na kamanda mkuu wa kikosi chote cha UKAWA Freman Mbowe akikisheni hi sera ya gesi na mafuta haipitishi Bungeni kwa manufaa ya nchi.
zimebaki siku ngapi bunge kuvunjwa rasmi wewe bibi?Wembe ni ule ule wakifanya vurugu watasimamishwa kushiriki vikao vyote.
Leo makamanda wa ukweli katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wamefukuzwa Bungeni.
Kwa hiyo nawasihi makamanda wengine kama Lema na Sugu, kesho waende bungeni wakaongeze nguvu iliyopungua.
Sisi wananchi tuliyo wengi tunaamini Lema, Sugu wakienda bungeni wakishirikiana na makamanda wengine kama vile Wenje, Halima Mdee, Moses Machali, James Mbatia na kamanda mkuu wa kikosi chote cha UKAWA Freman Mbowe akikisheni hi sera ya gesi na mafuta haipitishi Bungeni kwa manufaa ya nchi.
Hivi haya maSisiemu yanamgeuza hata Mungu kama hakupiga hesabu yake vizuri kuihifadhi gesi yote hiyo kwenye ardhi yetu?pumbavu sana!!!!!!
Raslimali zetu zinatakiwa zitunufaishe wananchi wote hiyo mishwada ya sheria ina uharaka gani ya kudiscussiwa kwa muda hu bora isubiri tu bunge lijalo(baada ya GE)