Lema na Msofe walianzisha Arusha na madiwani wengine CHADEMA

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na ugomvi wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA Arusha Kati ya madiwani wa CHADEMA wao kwa wao na mbunge

Naibu meya wa Arusha Msofe diwani wa kata ya daraja mbili msofe tangu atoke ccm akagombea ubunge na kupata ndani ya CHADEMA hali imekuwa siyo mzuri kwanza msofe ndiye alimshinikiza Lema akubali mwafaka na kuchukua nafasi ya naibu meya ambayo CHADEMA waliikaataa awali kama mtakumbuka ndicho kisa chakuwafukuza madiwani wanne lakini lema na msofe walikaa mezani na kumkubali meya ambaye CHADEMA ilishaa mwita meya wa kichina nakukata kabisa kumtambua

Msofe baada ya kumwiza lema kingi na kulamba nafasi ya unaibu meya alianzisha vitisho kwa LEMA kuwa 2015 yeye msofe ndiye anafaa kuwa mbunge wa Arusha

Msofe na LEMA na mkuu wa mkoa wa Arusha walishirikiana kwa pamoja kula mlungula kila mmoja kwa wakati wake kwenye kampuni ya skyetl Arusha ili ipewe tenda ya taa za bara barani jambo ambalo limesababisha mama shujaa mkurugenzi mlokole asiyependa rushwa sapora Liana kung'olewa Arusha

Shida kwa sasa msofe baada ya kufanikiwa kukamata nafasi ya naibu meya Arusha anapiga dili hadi raha msofe ni mtu anayejua kutishia naaingiliki kirahisi aliwasumbua sana ccm kabla ya kumwangusha kwenye uchaguzi akaelekea CHADEMA ndani ya manispaa kila tenda nilazima alambe cha juu uzuri wa meya wa ccm anaukwasi wakutosha kwahiyo dili ndogo ndogo hayupogo hii inamfanya msofe ashinde manispaa kama mtaalamu

Mwaka Jana msofe kama NAIBU meya alichukua tenda ya statonar na nyingine ndogo jambo ambalo ni kinyume na Sheria ya manunuzi chama chake kikamwita ili kimulize msofe alichofanya badala ya kujibu hoja alianza kumporomoshea matusi MWENYEKITI wa kikao diwani wa CHADEMA kata ya ngarenaro kikao kikavunjika

Baada ya hapo kamati tendaji ilimwandikia barua msofe ajieleze ndani ya siku saba tangu alipo pata barua hajajieleza msofe amepata nguvu baada ya suala la skyetl kuhusika yeye na LEMA kwahiyo alimwambia LEMA kama najadiliwa maana mashitaka ni matatu
1.kuhusika kuitetea kampuni ya skytel
2.kuchukua tenda manispaaa kinyume cha sheria ya manunuzi
3.kunda makundi ndani ya chama yanayowahusisha madiwani wa SEKEI kimandolu elerei kaloleni na Themi

Msofe baada ya kuisoma barua hiyo alimwambia mbunge kosa LA kwanza tupo wote maana tumetajwa kwa pamoja baada ya kuona atachafuka na kinda tea MH mbunge ametumia busara na kusema hayo mambo ya msofe yaachwe kwasasa tujenge chama kwanza maana kwasasa Arusha chadema imebeba mamluki wemgi sana kwasasa

Baadhi ya madiwani wa CHADEMA wakimlaumu mbunge na viongozi wao wakitaifa kuwa LEMA ni tatizo na huwezi mjadili maana mbowe na slaa msikiliza kuliko wao ndiyo sababu viongozi wengi waliyopo wilayani kawaweka lema chama Arusha kipo taabani

Madiwani wenzetu waliyoingia kwenye hizi chaguzi ndogo hawana tofauti na ccm na wataalamu ambao wanaibia wananchi sisi kama chama kinachopinga ufisadi kwa sasa Arusha CHADEMA hatuna tofauti na CCM maana baadhi yetu wakiongozwa na naibu meya wanapiga dili

Suluhisho hapa nikuwafukuza maana chadema malengo yetu ni kupinga ufisadi

Kwasasa tumekwama maana muda mrefu katibu mkuu hajajibu barua yetu ya malalamiko juu ya kinachoendelea Arusha
 
Mmh.. unamfahamu ZIPORA?
Alipogania nn hadi akaingia kwenye mgogoro na mkuuu wenu wa mkoa toka gambani?

jipange dada angu
 
Khaa!! Ajadiliwe Lema! Huyu wa kutoka moshi?? Labda baba jr na mzee wa madaivesheni wasiwepo..
 
Vurugu nyingi wala hazianzishwi na madiwani wala wabunge bali ni sisi wenyewe kutaka kila mara jina lako lilete uzi huku ndani....kazi aliyofanya lema ndani ya arusha hupaswi kuibeza hata kidogo,haiwezi tokea mtu akafukuza madiwani 4 tena wa upinzani na bado akawarejesha na nyongeza juu ya diwani mmoja na kuwa jumla 5 na bado ukabeza juhudu zake,mda mwingine mpakeni tope lema badala ya ma#$&@&v
 
Hii habari imekaa kikuda kikuda! naona gamba lipo kazini kujihakikishia buk 7!
 
Lema ndie anaeharakisha kifo cha Chadema
 
Rwanda ulikuwa unaishi eneo gani? Mbona ulichoandika hakieleweki?
 
Eti meya wa kichina ana pesa za kutosha! Kaulizeni kanisani kwake pale Kijenge RC muambiwe kama anaaminika hata kwa mia!
 
ccm bwana ufisadi ndio sera yenu,sasa mbona reli mliyo ahidi amtengenezi.
hivi yule mkurugenzi wa jiji la ARUSHA alihamishwa kisa nini?ufisadi wa mkuu wa mkoa magesa
na jingine mkumbusheni magesa kufanya mazoezi sio tumbo linamtoka kama mama mjamzito ok bila kumsahau nape nauye
na oparesheni yake ya kuvua magamba
 
Elimu ya kusoma na kuandika bado ni tatizo, rudi std I dada aminangalo.
Uko Arusha ya Kigoma au ya Daslaam
 
Last edited by a moderator:
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na ugomvi wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA Arusha Kati ya madiwani wa CHADEMA wao kwa wao na mbunge

Naibu meya wa Arusha Msofe diwani wa kata ya daraja mbili msofe tangu atoke ccm akagombea ubunge na kupata ndani ya CHADEMA hali imekuwa siyo mzuri kwanza msofe ndiye alimshinikiza Lema akubali mwafaka na kuchukua nafasi ya naibu meya ambayo CHADEMA waliikaataa awali kama mtakumbuka ndicho kisa chakuwafukuza madiwani wanne lakini lema na msofe walikaa mezani na kumkubali meya ambaye CHADEMA ilishaa mwita meya wa kichina nakukata kabisa kumtambua

Msofe baada ya kumwiza lema kingi na kulamba nafasi ya unaibu meya alianzisha vitisho kwa LEMA kuwa 2015 yeye msofe ndiye anafaa kuwa mbunge wa Arusha

Msofe na LEMA na mkuu wa mkoa wa Arusha walishirikiana kwa pamoja kula mlungula kila mmoja kwa wakati wake kwenye kampuni ya skyetl Arusha ili ipewe tenda ya taa za bara barani jambo ambalo limesababisha mama shujaa mkurugenzi mlokole asiyependa rushwa sapora Liana kung'olewa Arusha

Shida kwa sasa msofe baada ya kufanikiwa kukamata nafasi ya naibu meya Arusha anapiga dili hadi raha msofe ni mtu anayejua kutishia naaingiliki kirahisi aliwasumbua sana ccm kabla ya kumwangusha kwenye uchaguzi akaelekea CHADEMA ndani ya manispaa kila tenda nilazima alambe cha juu uzuri wa meya wa ccm anaukwasi wakutosha kwahiyo dili ndogo ndogo hayupogo hii inamfanya msofe ashinde manispaa kama mtaalamu

Mwaka Jana msofe kama NAIBU meya alichukua tenda ya statonar na nyingine ndogo jambo ambalo ni kinyume na Sheria ya manunuzi chama chake kikamwita ili kimulize msofe alichofanya badala ya kujibu hoja alianza kumporomoshea matusi MWENYEKITI wa kikao diwani wa CHADEMA kata ya ngarenaro kikao kikavunjika

Baada ya hapo kamati tendaji ilimwandikia barua msofe ajieleze ndani ya siku saba tangu alipo pata barua hajajieleza msofe amepata nguvu baada ya suala la skyetl kuhusika yeye na LEMA kwahiyo alimwambia LEMA kama najadiliwa maana mashitaka ni matatu
1.kuhusika kuitetea kampuni ya skytel
2.kuchukua tenda manispaaa kinyume cha sheria ya manunuzi
3.kunda makundi ndani ya chama yanayowahusisha madiwani wa SEKEI kimandolu elerei kaloleni na Themi

Msofe baada ya kuisoma barua hiyo alimwambia mbunge kosa LA kwanza tupo wote maana tumetajwa kwa pamoja baada ya kuona atachafuka na kinda tea MH mbunge ametumia busara na kusema hayo mambo ya msofe yaachwe kwasasa tujenge chama kwanza maana kwasasa Arusha chadema imebeba mamluki wemgi sana kwasasa

Baadhi ya madiwani wa CHADEMA wakimlaumu mbunge na viongozi wao wakitaifa kuwa LEMA ni tatizo na huwezi mjadili maana mbowe na slaa msikiliza kuliko wao ndiyo sababu viongozi wengi waliyopo wilayani kawaweka lema chama Arusha kipo taabani

Madiwani wenzetu waliyoingia kwenye hizi chaguzi ndogo hawana tofauti na ccm na wataalamu ambao wanaibia wananchi sisi kama chama kinachopinga ufisadi kwa sasa Arusha CHADEMA hatuna tofauti na CCM maana baadhi yetu wakiongozwa na naibu meya wanapiga dili

Suluhisho hapa nikuwafukuza maana chadema malengo yetu ni kupinga ufisadi

Kwasasa tumekwama maana muda mrefu katibu mkuu hajajibu barua yetu ya malalamiko juu ya kinachoendelea Arusha

Hii thread inatufundusha wewe ni domo kaya. Kwa taarifa hadi sasa hivi hakuna muafaka kati ya Maccm na Chadema. Bado Gaudensi ni meya wa Kichina. Hata madiwani wa Chadema hawamtambui maana hajachaguliwa na madiwani wa Arusha. Msofe ni naibu Meya maana amechaguliwa na madiwani wa vyama vyote.
Chunga unayo leta hapa maana maccm mnashida sana.
 
Back
Top Bottom