kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
uchaguz ujao lema asigombee,akili yake ndogo inakost cdm
Ni kweli kabisa na NDIO MAANA matokeo ya chaguzi ndogo za udiwani zilizopita pale Arusha ni CHADEMA 5 - CCM 0. pia usisahau kutokana na akili yake ndogo ilisababisha BATLIDA BURIANI atoe machozi kama mtoto mdogo baada ya kushindwa katika uchaguzi.