MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Hebu tutoe matongotongo kazi hii inamsaidia vipi mwananchi kupambana na changamoto za maisha?Vurugu nyingi wala hazianzishwi na madiwani wala wabunge bali ni sisi wenyewe kutaka kila mara jina lako lilete uzi huku ndani....kazi aliyofanya lema ndani ya arusha hupaswi kuibeza hata kidogo,haiwezi tokea mtu akafukuza madiwani 4 tena wa upinzani na bado akawarejesha na nyongeza juu ya diwani mmoja na kuwa jumla 5 na bado ukabeza juhudu zake,mda mwingine mpakeni tope lema badala ya ma#$&@&v