Lema na Msofe kituko Arusha!

Msofe hakuchakingia kivipi?? Wakati katoa 8 milion ktk ujenzi wa kituo hicho?? Na tena yeye ni Naibu Meya kahisika kuallocate hicho kituo hapo
 
Viroba vinawasumbua. Lema mpaka aache viroba ndo akili yake itatengamaa
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.

Jenga hoja kwa kuwa mkweli si blabla
 
Kila mtu yupo kazini kwake aisee
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.
Soma vizuri, Mh.Lema alishiriki uzinduzi wa miradi

Poleni sana kwa mnaoendelea kufuatilia Mwenge usiokuwa na tija kwenu.
Hivi kwa mini Lema na Meya walishiriki? Halafu wewe unasema kwa mini Mwenge unafuatiliwa
 
Swali liwe hivi: je Lema na Msofe walishiriki kuzindua miradi wakati Mwenge unapita? Au hio miradi ilizinduliwa na Lema/ Msofe bila Mwenge kuwepo?
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.
Sio magazetini sema iko kwenye gazeti la Uhuru!
 
Swali liwe hivi: je Lema na Msofe walishiriki kuzindua miradi wakati Mwenge unapita? Au hio miradi ilizinduliwa na Lema/ Msofe bila Mwenge kuwepo?
Kwani mwenge nini? Ndio uliojenga hospitali?
 
lema ni jembe jina lako likitanjwa mpaka mapofu yanawatoka, tulieni mwakani hata zito kata mlizo baki nazo tunachukua zote!
 
Mhh kwani anaye jenga ndio anatakiwa kuzindua?
Ni pale ulipohoji "au hio miradi ilizinduliwa na Lema/Msofe bila mwenge kuwepo?" ndipo nikahoji kwani miradi haiwezi kuzinduliwa mpaka mwenge uwepo?
 
Hivi kwanini miradi lazima izinduliwe? Rudia kusoma post, inaonekana Lema/Msofe walishiriki tukio la Mwenge kuzindua hio miradi
Ni pale ulipohoji "au hio miradi ilizinduliwa na Lema/Msofe bila mwenge kuwepo?" ndipo nikahoji kwani miradi haiwezi kuzinduliwa mpaka mwenge uwepo?
 
Hahahaha hamna mnachokijuwa nyie misukule ya bavichaa zaidi ya matusi, pole yako.

Hahahahahaah! wapenda sifa waumbuka! Lema ni janga la taifa.(QUOTE)

Ww ni janga la familia yako!

Kwa hiyo nyie ni sahihi kuwaita wenzenu majanga? Kakurudishia unasema bavicha kazi yao kutukana, na wewe tukuite mwalimu wa matusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…