Lema na Msofe kituko Arusha!

Lema na Msofe kituko Arusha!

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.
 
Kwani lema unadhani amewahi kuwa na akili hata siku moja?
 
Hilo litakuwa gazeti la uhuru, kwani imejengwa na halmashauri ya kutoka mkoa gani?au walienda kuzindua mkoa gani?
Wao wanazuia miradi ya maendeleo nini kiliwapeleka huko kama siyo kuuza sura tu.
 
Hadi uwe mtumiaji wa dawa za kulevya ndo utaweza kumuelewa Mh. Lema.
 
Naona mmekaa watatu mnajibisha wenyewe kwa wenyewe!!! Yaani Arusha saa hiz watu wako kwenye kazi hawapotezi muda. Lema ni raisi wa Arusha wala huna hata wazo la kumbadilisha. Na madiwani wa ccm waliobaki waambieni wakusanye virago. Mbona jk mwenyewe anajua hafanyi ziara arusha. Mtatukanaa lkn wanaarusha tunaelewa na sisi ndio final. Rukeni rukeni tumekuja " DELETE KABISA" Kufagia buibui wote maana arusha mlisha kaa.
 
CCM na makanjanja wao wa gazeti la uhuru ni majanga matupu,wanasema kuwa zahanati íliyozinduliwa na Lema na Msofe imejengwa na serekali kwa kushirikiana na wananchi,ilíkuwa imepangwa kuzinduliwa na mwenge wa uhuru.Sasa sijui serekali ni nani na wananchi ni nani.Kama Lema na Msofe wamezinduwa hiyo za hanati wanahaki ya kufanya hivyo kwa vile wao ndio wananchi wenyewe waliojenga na iko kwenye jimbo lao.Kerere zote za makanjanja wa gazeti la uhuru ni kwa vile Lema na Msofe wametumia haki yao ya kuzindua Zahanati walioshiriki kuijenga wakati wao walikuwa wanataka Zahanati izinduliwe na mwenge ambao haukutoa hata senti moja zaidi ya kutumia kile kilichotafutwa na wananchi.
 
Naona mmekaa watatu mnajibisha wenyewe kwa wenyewe!!! Yaani Arusha saa hiz watu wako kwenye kazi hawapotezi muda. Lema ni raisi wa Arusha wala huna hata wazo la kumbadilisha. Na madiwani wa ccm waliobaki waambieni wakusanye virago. Mbona jk mwenyewe anajua hafanyi ziara arusha. Mtatukanaa lkn wanaarusha tunaelewa na sisi ndio final. Rukeni rukeni tumekuja " DELETE KABISA" Kufagia buibui wote maana arusha mlisha kaa chini.
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Msofe wazindua Hospitali ambayo hawakushiriki kuijenga katika mbio za Mwenge!
Source; Habari Magazetini.
Unamaanisha halmashauri haihusiki tena katika miradi?,maana huo mwenge haujajenga bali halmashauri kwa pesa za wananchi. Mbona uelewa wetu Watanzania unashuka sana kwa ajili ya ushabiki wa kisiasa. Na Msofe ndiyo naibu Meya kwa nini useme hahusiki,jipangeni tena.
 
. Yees.! Big up lema. Eti wanasubiri kikoroboi ndo kije kuzindua miradi..!!
 
Back
Top Bottom