Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
we ni kondom ya lema utaishia kutupwa chooni.
Si kweli sasa wanajichanganya vp...?au TBC HAWAJAELEWA.?... UNAJUA..MBOWE, GODBLESS LEMA, NA CHADEMA KISHERIA NI VITU TOAUTI...KAMA MBOWE ANAO SIO LAZIMA LEMA AWE NA USHAIDI AU SIO LAZIMA CDM WAWE NA USHAIDI....mbowe anaweza kuwa nao lakini hajampa godbless lema...mbowe ndo alisema anao sijaona lema akisema ana ushaid...sijui kam watoto wa ccm watanielewa..maana wao hawezaji kutofautisha kati ya kazi za serekali na za chama..
kwani siku hizi kutoa statements polisi na vyombo vya habari vinaruhusiwa kuhudhuria!?Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.

na ulaaniwe wewe uliyetuletea source toka tbc.
Walaaniwe wote wanaitazama!
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
watu nawashangaa sana,kama maelezo ya lema na ya mbowe ni lazima yafanane,si mgechukua maelezo ya mmoja then mkatoa photocopy?maelezo ya polisi yanaitwa maelezo binafsi,ni kwa kila mmoja jinsi alivyoona.sio lazima kile alichoona na anachokifahamu mbowe(mwenyekiti) basi na kila mbunge ktk chama alikiona na anakifahamu.mnataka kutuambia kuwa maelezo atakayotoa mwenyekiti wa ccm kuhusu labda richmond yatakuwa sawa na maelezo anayoweza kuyatoa mbunge wa labda huko jimbo la karagwe ccm blandes?tena maelezo yao yangefanana ningewashangaa sana!
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
Mhmmm!ok, wakati walihojiwa tbc walikuwa pembeni au Chagonja kawapa taarifa hao tbccm
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
hayo maneno hayatolewa na tbc kigori wangu, hayo ni maneno ya kamishna CHAGONJA na mahojiano yote kati yake chagonja na lema/mbowe yamerekodiwa. bwatuka tuuu lakini huo ndio ukweli na ushahidi wa mahojiano upo..Nina uhakika wewe ni baby boomers generation (tafuta kwenye google its meaning)
Unatazama TBC, tena bila aibu unaleta uzi hapa!
Niliuliza hapa jana kuwa mbowe na lema nani anamuongoza mwenzake.