Lema na Mbowe wajichanganya

Lema na Mbowe wajichanganya

FIDIVIN

Senior Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
187
Reaction score
41
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
 
chadema sasa kila mtu amekuwa msemaji wa chama! kaaazi kweli kweli!
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

Nina uhakika wewe ni baby boomers generation (tafuta kwenye google its meaning)

Unatazama TBC, tena bila aibu unaleta uzi hapa!
 
Nyambafuuuuuu.......ia tbc a reliable sourve? Go away
 
Niliuliza hapa jana kuwa mbowe na lema nani anamuongoza mwenzake.
 
ok, wakati walihojiwa tbc walikuwa pembeni au Chagonja kawapa taarifa hao tbccm
 
Nina uhakika wewe ni baby boomers generation (tafuta kwenye google its meaning)

Unatazama TBC, tena bila aibu unaleta uzi hapa!
Wewe soma tanzania daima ikibidi uza mandazi wenzio wauze karanga,lema hayupo sawa kichwani mbowe na vile mwenzangu na mimi.
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
Ushahidi wa mtoto juu ya kupigwa risasi na polisi kwenye tukio la bomu Arusha nao TBC wameutoa?
 
TBC2 lini walirusha habari?
Watanzania siyo wapumbavu kama wewe
 
Wewe soma tanzania daima ikibidi uza mandazi wenzio wauze karanga,lema hayupo sawa kichwani mbowe na vile mwenzangu na mimi.

Dah! Umechalewa kwani ofisi zimefungwa. Buku 7 itakuwaje sasa?

Lema yupo sawa....................... ndiyo maana katufundisha kuushinda WOGA!

Muulize Chagonja then majibu um copy Nchimbi na Pinda.
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

Kama unachosema kweli kimesemwa na TBC basi ni kwamba Changonja na TBC ndio waliojichanganya
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
unaleta habari za TBC CCM zinazofanyiwa uhariri Lumumba watu tulisha sahau kama kuna TBC.
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

Great thinker, hapo kuna tatizo gani katika statements hizo. Hutaki kuona kuwa katika set up yoyote ile ni lazima kuwa na namna information zinavyoweza kutolewa! Sio kila mtu ndani ya kaya anatoa taarifa za kaya, hiyo itakuwa ni kaya iliyosambaratika.
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2
Chanzo ni TBCCM?!
Hv,wewe ulikuwepo wakati wanahojiwa au umenasa kwenye propaganda za CCM?!
Kwa hiyo unadhani Mbowe na Lema hawakupanga cha kusema kabla au?!
Na kama walikuwa wanahojiwa bila mawakili, unadhani mawakili wao waliwacha hivi hivi bila kuwaambia lipi wajibu na lipi waache?!
Inamaana kwa umri wako hujaweza kujua kwamba akili ya mwana-CHADEMA huwa haifulii labda arudi MISRI??
 
Wakitoa maelezo polisi Lema alisema polisi hawahusiki na bomu na hawana ushaidi wowote . alipofika Mbowe akasema wanausika na wanao ushaidi. Lema alipoulizwa tena akasema kama mwenyekiti kasema wanao basi sawa ila yeye hajuhi.
source: Tbc habari sa 2

Chanzo cha habari ndio hiki? Basi subiria mahakamani ndio utaona utamu wa hili game!!!!
 
Back
Top Bottom