Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Hlo neno cjui walah kama unakusudia kula kiapo n makosa makubwa weka hata jna la mumeo ikiwezekanaHuyo lema amerogwa na akarogeka walahi
Hamna kitu hapo ni debe tupu lisilo kosa makelele
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijinga kijinga vile. Wewe waombe CHADEMA msamaha kwa usaliti hata kama una unaibu waziri kwa hisani ya nyonga na usaliti.Ndugu zangu,
Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuida Lowassa fisadi"..
Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.
Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.
Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume wangu ni Mwenyezi Mungu au hujui maandiko?Hlo neno cjui walah kama unakusudia kula kiapo n makosa makubwa weka hata jna la mumeo ikiwezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba walishiriki wote kwenye movie ya kuua mbwa na kumzika ππππππ Walimuonea sana huyo mbwa na bado target yao ikafeli...laana ya mbwa inawatafuna na wote watakuwa victim ..Nasari tayar amefukuzwa ubunge na Lema halambi jimbo 2020
Hayatamtafuna maana ni ya kweli kwa hiyo yupo huru.Haya maneno yatamfuata lema hadi anaingia kaburini..alimtukana sana lowasa wakati wa kampeni arusha..ilifikia mahali alisema lowasa batilda buriani kajazwa mimba ya lowasa..alisema ni heshima kwa Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama lowasa..huyu alivuka viwango vya siasa akaja kwenye uvunjaji wa haki za binadamu..bahati mbaya serikali iliyopo ilikuwa dhaifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshauri Lowasa awaombe msamaha wale watanzania Milioni 6Ndugu zangu,
Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuida Lowassa fisadi"..
Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.
Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.
Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekwambia kama unamkusudia huyo uliomtaja achana kabsa na ujinga huo hapo co mahala pake waweza kujikuta haupo kundn kwa mambo ya kijingajinga tuMume wangu ni Mwenyezi Mungu au hujui maandiko?
Mimi sipo kundini na wala sitakaa niwe kundini ndugu yangu!Nmekwambia kama unamkusudia huyo uliomtaja achana kabsa na ujinga huo hapo co mahala pake waweza kujikuta haupo kundn kwa mambo ya kijingajinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yupo kama msajili mtungiKwani Lowasa bado yupo CDM si alisharudi nyumbani CCM, Lema alimwita fisadi alipokua nyumbani alipohamia CDM nani walimwita Lowasa fisadi? Na sasa karudi nyumbani mbona huwaambii waliomwita fisadi akiwa CDM wamuombe msamaha?