Lema, Mnyika kuelekea Mtwara - kupiga M4C kwa siku TANO

Nikweli nakazi ya mbunge sio kumwaga zege,yaye hutunga sheria na kuisimamia selikali.ukisubiri akuchimbie barabara migu yako itaingia shingoni.makamanda nyie ndio tunao wategemea bila nyinyi tungekua bado na minyororo.nendeni huko kwa wamakua wamakonde wamachinga bilakuwasahau wandengereko. Kawachocheen mpaka ugali usongweee.
 
bora waende makamanda wakachape kazi sio Mbatia anaenda kuwambia upuuzi tu. mm nashangaa nccr kuendelea kumkumbatia kibaraka wa ccm
 
mnyika ni mbunge wangu ila hamna alichofanya mpaka sasa nikelele kama ni dhaifu bas yeye ana high class ya udhaifu akae chonjo na m4c yake huku wiki nzima hakuna maji ubungo

Kusoma hujui hata kutofautisha rangi huwezi unakaa ubungo ipi hyo?mm nakaa ubungo kwa muda siku 4 mfulululizo maji yanatoka sema mbunge gani aliyekuwepo kabla ya mnyika alifanya hili?acha umbumbumbu ww comment vitu vyenye mashiko sio ilimradi tu ucoment.
 
Hii taarifa kama ni ya ukweli ,natoa angalizo.

Mh Mnyika na Lema mkija Mtwara tafadharini musimtaje jina mtu wala Chama chochote cha Siasa ,nyie zungumzieni faida ya Gas kwa manufaa ya Wanamtwara na Taifa kwa ujumla ikibaki Mtwara ukitumia ile kaulimbiu Gas kwanza Vyama baadae,Mtwara tumeunganishwa na Gas,ukitaja jina la mtu au jina la Chama utashushwa tuuu Jukwaani haijarishi unaongea nini.SIJAWAHI KUONA WANAKUSINI TUMEUNGANA NAMNA HIII .
 
Kaka usifananishe watu wala usifundishe watu cha kwenda kuongea,watu siku hizi waelewa,wanajua nani anaongea pumba na nani anasimamia ukweli.Aliyeshushwa anajulikana.
 
hoja yako ilikuwa ni kukatika maji sio kutokuwa na maji kabisa au sio?

Suala la kwenda shule au kutokwenda nadhani tuliache kidogo , litatutoa kwenye mstari!

nikusaidie kuwa mnyika amebezi sana kwa utaifa
 
Hii taarifa kama ni ya ukweli ,natoa angalizo.

Mh Mnyika na Lema mkija Mtwara tafadharini musimtaje jina mtu wala Chama chochote cha Siasa ,nyie zungumzieni faida ya Gas kwa manufaa ya Wanamtwara na Taifa kwa ujumla ikibaki Mtwara ukitumia ile kaulimbiu Gas kwanza Vyama baadae,Mtwara tumeunganishwa na Gas,ukitaja jina la mtu au jina la Chama utashushwa tuuu Jukwaani haijarishi unaongea nini.SIJAWAHI KUONA WANAKUSINI TUMEUNGANA NAMNA HIII .

Kaka mkubwa haya ni maagizo toka kwa nani......yaani unalazimisha mgonjwa wetu atibiwe bila wenyewe kujua anaumwa nini
 
TUNAWAKARIBISHA,BUT WE ARE WARNING THEM HUKU GESI KWANZA KWA MASLAHI YA WANA KUSINI NA TAIFA KWA JUMLA SIASA NA :blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah: BAADAE,,
SERIOUSLY WE ARE TELLING THEM HATUTOSHINDWA KUWASHUSHA JUKWAANI KAMA TULIVOFANYA KWA MBATIA KAMA HAWATAKUWA WAWAZI ZAID KATIKA HILO,
WAJE WAKIJUA YA KWAMBA WATU WANAHITAJI KUSKIA YENYE KULETA MATUMAIN FULL STOP...!!

Hii si njema kwa MAGAMBA kwa kuwa wao ni wachumia tumbo hodari sana kushadadia UFISADI.bigUP sana wana mtwara.MTWARA kwanza vyama baadae.magamba zi iii,! ziiiiiii.
 
Dar nzima jana kulikuwa hakuna maji, miaka 50 ya uhuru bomba la maji linapita ubungo kuleta maji mjini, huyo mnyika ana miaka mingapi ya kuzaliwa? Nini kilifanya maji yasiwepo? be fare....
 
Binafsi sioni kama sera ya Majimbo ndio suluhisho ya matumizi ya rasilimali za Taifa kama Gesi, Madini na nyinginezo. Cha msingi tupeleke maoni kwenye Katiba. Rasilimali kama hizi hazipaswi kuwa sa sehemu zinapopatikana, badala yake lazima zibakie mali ya wananchi wote wa Tanzania. Vinginevyo sera hii itazidi kuleta mpasuko nchiini badala ya kudumisha umoja na Mshikamano. Cha kufanya ni kuona ni kwa namna gani zitafanufaisha watu wa mahali zinapopatikana kwani wao ndio wanaoathirika kwa madhara yanayotokana na matumizi husika.
 
Hii si njema kwa MAGAMBA kwa kuwa wao ni wachumia tumbo hodari sana kushadadia UFISADI.bigUP sana wana mtwara.MTWARA kwanza vyama baadae.magamba zi iii,! ziiiiiii.

Namwaminia sana jeshi langu Mwigulu.......atakuja ''kubutua'' wote huko Mtwara.....stay tuned
 
Namwaminia sana jeshi langu Mwigulu.......atakuja ''kubutua'' hoja zote za CDM huko Mtwara.....stay tuned
 
Back
Top Bottom