Lema, Mnyika kuelekea Mtwara - kupiga M4C kwa siku TANO

Naona unaziba shimo la panya kwa mkate...Wamakonde na Chadema wapi na wapi...ha haa haaa.

p. u. m. ba vu!! unafikiri Wamakonde wa sasa ni wale wa 97 kupelekwa pelekwa tu? itakula kwenu ccm..watu tumeshafunguka.
 
inteligensia ya mwema imenusa
machafuko ntwara -- kwa hiyo wanasitisha mikutano yote ya kisiasa mpaka
hapo hali itakapokuwa safi - hii ni kutokana na kushushwa jukwaani kwa
m/kiti wa nccr-mageuzi na kusababisha uvunjifu wa amani kwa muda.

Mikutano ya ndani tu ndiyo inaruhusiwa, na watu wanaoingia ntwara lazima
wajitambulishe kwa wenyeviti wa serikali za mitaa.

Mmechelewa sana. Gesi ni ya Mtwara na Lindi tu! Hata mfanyeje ukweli ndio huo.
 
nikusaidie kuwa mnyika amebezi sana kwa utaifa

Una-ongelea utaifa upi mzee? wa kuhamishia kila kitu DAR?,shinyanga mmemaliza kila kitu barabara zipo DAR sasa mmehamia Bagamoyo. acha kutumikia vitambi wewe.
 
Bila shaka utasikia wakisema wamesimamisha shughuli za mikutano ya kisiasa kusini hadi hapo swala la gesi litakapo patiwa ufumbuzi na serikali.
 
Mbunge wa Arusha mjini mhe godbless na mbunge wa ubungo Mnyika inasemekana wiki hii wataelekea mtwara kufanya mikutano kwa siku TANO.
Ziara hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa retreat ya wabunge wa chadema na kamati kuu na kuazimia kufanya ziara ya kikazi na kichama na kuazimia kwenda kuzungumza na wana mtwara.
Mnyika atazungumza na wana mtwara kuhusu sera ya majimbo ya chadema na suluhisho la mgogoro wa suala la gesi ambalo kimsingi ndio limechukua sura kubw kitaifa hivi sasa.

Mwanzo mzuri, yewezekana tukafika walikofika S. Kusini.
 
Kama mpango huo ni wa kweli, imekaa poa sana!
Nendeni makamanda mkawaelimishe zaidi ndugu zetu wa huko ili waweze kupigania na kulinda rasilimali zao.
 
Matusi ya nini au ndiyo uonekane bingwa wa matusi JF...jenga hoja.

hoja ungeanza kutoa wewe..na siyo kutuona wamakonde bado tupo nyuma

mlifikiri mambo yangekuwa rahisi, kwa sababu gesi ipo kwa wamakonde na ingeenda dar kirahisi?

i
d
i
o
ts wewe na magamba wote.
 
Johannesburg ilijengwa kwa dhahabu. Mtwara ijengwe kwa gesi. Simple.
manyara ijengwe kwa tanzanite,mwanza kwa dagaa,kilimanjaro kwa mlima,mtera kwa bwawa,dar es salaam kwa msongamano wa majengo, na mara kwa mbuga ya serengeti. sio?
 
Walipewa nafasi kwa miaka 50 wameshindwa kuitumia vizuri,Tunakoelekea itafikia hatua hata KUCHEUA itakuwa deal
 
manyara ijengwe kwa tanzanite,mwanza kwa dagaa,kilimanjaro kwa mlima,mtera kwa bwawa,dar es salaam kwa msongamano wa majengo, na mara kwa mbuga ya serengeti. sio?

Dar inajengwa na mikoa. Lakini kuna mpuuzi mmoja anataka kutuaminisha kuwa 80% ya mapato ya nchi ni Dar. So stupid
 
Makamanda tunawatakia mafanikio mema na kila la heri viva chadema!
 
ushauri wajipange kabla ya kwenda,maana mambo wanayokwenda kuongelea yana gusa maisha na hisia za wanamtwara na tanzania kwa ujumla.!!
 
manyara ijengwe kwa tanzanite,mwanza kwa dagaa,kilimanjaro kwa mlima,mtera kwa bwawa,dar es salaam kwa msongamano wa majengo, na mara kwa mbuga ya serengeti. sio?

Yes. Viwanda vya kukata tanzanite na kutengeneza vito vyake vijengwe Manyara watu wapate ajira na kuboresha miundombinu ya huko iliyochoka hakuna mfano. Itasaidia pia kupunguza kasi ya vijana kukimbilia mijini kufanya shughuli za aibu kama ukahaba na ujambazi kama inavyolisumbua Jiji la Dar es Salaam hivi sasa.

Kama ilivyo kwa Manyara, viwanda vya aina hiyo kwa dhahabu na almasi vijengwe Shinyanga na sio SA na India; viwanda kwa ajili ya dhahabu vijengwe Mwanza, Mara, na Tabora sio India na SA.

Viwanda vya Ruby vijengwe Morogoro na sio Thailand na India. Viwanda vya Uranium vijengwe Dodoma na Ruvuma na sio Iran au USA. Viwanda vya nafaka vijengwe Iringa, Mbeya, Ruvuma, Sumbawanga, na Katavi na sio Dar es Salaam tu. Viwanda vya nyama na bidhaa za ngozi vijengwe Arusha, Manyara, Unyamwezini na Usukumani na sio kusafirisha wanyama hai kupeleka Uarabuni na Comoros.

Hayo ni machache tu. Ni kweli inawezekana kukawa na sababu za msingi kwamba kitu fulani hakiwezi kujengwa mahali fulani kwa sababu za msingi sana - sitegemei kwa uchumi na teknolojia tuliyo nayo mitambo ya kinyuklia ijengwe Tanzania potelea mbali Dodoma. Ikiwa hivyo wananchi waelezwe kwa utaratibu wataelewa na sio kuleta bla bla za kijinga kama ilivyo kwa suala la gesi. Kujenga mitambo ya umeme (yaani mitambo ya gesi ya kuzalisha umeme) Mtwara kuna ugumu gani? Ndicho wanachotaka wa-Mtwara na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom