VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Lissu anaenda mbele ya jopo la majaji ambalo hana imani nalo!
so anataka wakihukumu kinyume na matarajio yake apate kigezo cha lawama?

Mbona ambao aliwataja wameondolewa na wambaki wale wenye sifa. Kama wewe ni mfatiliaji mzuri, utakuwa unafahamu kuwa Jaji Mbarouk Salim Mbarouk ni mmojawapo aliyetajwa na Lissu ambaye hakuwa hata na degree moja ameondolewa kusikiliza rufaa ya Lema kama ilivyopangwa awali. Badalayake ameingia Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman ambaye ataungana Majaji wa Mahakama ya rufaa, Natalia Kimaro na Salum Massati ambao wote ni wa ukweli. Lissu hakusema majaji wote ni feki, ukisoma taarifa yake aliyoipeleka bungeni aliwataja wote kwa majina na mapungufu yao. Nashauri wakati mwingine tuache ushabiki wa kitoto.
Lissu anaenda mbele ya jopo la majaji ambalo hana imani nalo!
so anataka wakihukumu kinyume na matarajio yake apate kigezo cha lawama?
Lissu anaenda mbele ya jopo la majaji ambalo hana imani nalo!
so anataka wakihukumu kinyume na matarajio yake apate kigezo cha lawama?
Lissu anaenda mbele ya jopo la majaji ambalo hana imani nalo!
so anataka wakihukumu kinyume na matarajio yake apate kigezo cha lawama?
Lissu anaenda mbele ya jopo la majaji ambalo hana imani nalo!
so anataka wakihukumu kinyume na matarajio yake apate kigezo cha lawama?
huyu tungempeleka igunga akaokoe jahazi lilofumuliwaMuu pia ilitakiwa awe na mwanasheria Ridhiwani Kikwete kwani kijana kasoma sheria na anaijua vizuri kabisa na uwepo wa kamanda Ridhiwani utasaidia na kurahisha ushindi wa Lema.
Hapo kwenye ni mapungufu yao, kukosa sifa si uchafuNi moja ya tabia za Watanzania aina yako...husoma vichwa vya habari bila kuyatafuta maudhui ya habari yenyewe kwa undani wa habari yake...Itafute ile ripoti uone ilivyokuwa imeandaliwa...tena kwa kutaja na majina na si mifano ambayo mda fulani huwa ni ya kusadikika...Kawataja kwa majina na uchafu wao....Ila ki ukweli sikushangai kwa matazamo wa kimakengeza...
Mkuu ruttashobolwa hii hukumu ni lini?sidhani kama unafatilia habari hizi vizuri!