Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii

Mitandao ya Kijamii na mafanikio ya kutotarajiwa ya 2015 imefanya CHADEMA yetu muiue mchana kweupe. Mmeziba masikio na mkaweka pamba huku mkilamba mikono ya wale wachafu. Hamsikii na hamtaki kuambiwa facts za siasa, eti kwa vile tu tunakosoa zaidi ya kushangilia kinachoendelea.

Tangu uchaguzi kama we ni Mbunge unaweza ukasema kitu gani umesimamia moja kwa moja hapo jimboni? Ni mara ngapi umetumia muda mwingi kufanya kejeli juu ya rais na kumbeza bila kuwa na reference za hoja zenu?

Kumbuka kauli ya Kafulila hata Masha, wananchi hawaoni thamani ya siasa tena na hawataona kwa vile mmekaa na wachafu wengi. Hamuwezi sema kwa vile midomo yenu ni michafu. MMebaki na matusi tu.

Hapa umeendika si zaidi ya wananchi wako 1000 watajua umesema nini!! Lakini utasema wanajua. Tatizo hili.

Tubadili fikira, CCM si kiwanda cha wanasiasa wa kuendesha CHADEMA. Mmejianika ndani nje na mnaendelea kukumbatia tena.

Mtakwisho!!
Unaandika huku ukitetemeka kwa uongo mkubwa ulioandika , bila polisi hakuna ccm , hilo unalijua , lakini siku yenu haiko mbali na nawahurumia mno !
 
Sasa bunduki kwenye uchanguzi za kazi gani??
 
Aseee kwa hili lenyewe nitasimama kulitetea
Vyeti feki huoni impact yake??
Watumishi hewa huoni impact yake??

Kweli wewe hakili kubwa mkuu.
Kama hizi ndizo zilikuwa kampeni zetu basi kushindwa ni lazima mkuu.

Siku hizi kwenda ofisi ya huduma za kiserikali hujipangi mkuu .
Mkuu, si ndio maana nikamwambia anitajie mafanikio?
 
Furaha yao ni kuona wanatangazwa washindi kwa namna yoyote...lakini pia lazima tujihlize...Kama chanzo Cha kurudiwa uchaguzi hpo Arusha ni kununuliwa kwa madiwani unadhani wangekubali kula hasara ya pesa na kupoteza kata?..
Rwanda system ndani ya Tanzania
 
Shida yenu machadema mmesajili mafisadi, halafu mnalalamika eti mmeibiwa kura, Wakati wananchi wameshawashtukia kuwa nyie ni wapiga dili!!
Siku inakuja uongo wenu utawatokea puani , kama mnakubaliwa na wananchi kwanini mnatumia polisi kuua na kuumiza wananchi kwa ajili ya kushinda kata tu ? Hamna tofauti na wanyama , siku yenu iko njiani .
 
Kwani we umekufa?
 
Daaa...tatizo watanzania tmekua waoga mno....tunaona jambo baya lnatokea af tnaogpa kutetea akat tupo weng....kila siku tutazurumiwa na tutalalamika sn
 
Mkidanganya mnakubali kama hamna fikira binafsi. Na watawatumia sana mpaka mzipate akili kama zangu au muone mmeingizwa kingi na hao wezi.

Imani gani hiyo kwa kupoteza kata zote hizo hujui wakubwa wako wako uchi?
Unaandika huku ukitetemeka kwa uongo mkubwa ulioandika , bila polisi hakuna ccm , hilo unalijua , lakini siku yenu haiko mbali na nawahurumia mno !
 
CHADEMA mlijimaliza wenyewe kwenye Uchaguzi Mkuu. Hizi ngojera hazitasaidia kama kosa lenu la 2015 hamjalitubia.

Hata ninyi, huyo Mungu hawezi kushuka chini kuja Tanzania kama. Bado MNA li boriti likubwaaaaaaa jichoni penu.

Acha CCM iendelee kushinda kwa namnan yoyote ile maana ninyi ndiyo mnao kula sasa mlichokipanda kwa mbwembwe pale Serena hotel.

Pia, ikihamasisha watu kuwa watatumia njia zingine za Kukuwezesha kushinda uchaguzi, unakuwa hujengi democracy na nguvu ya hoja bali unatengeneza siasa za fujo, machafuko labda hadi mapigano.

Lakini, sasa hicho nacho hatutawavumilia CHADEMA zaidi ya hapo viboko kama vya shule vitahusika juu yenu na hakuna wa kuwahurumia.
 
Mh. Lema nakushauri kwanza ukatubu kwa Mwenyezi Mungu kwa maneno uliyokuwa unawaeleza wananchi wakati wa uchaguzi wa Mbunge wa Arumeru wa marudio kuhusiana na Lowassa kuwa ni "Heshima kwa Mungu Kumzomea Lowassa wa Ufisadi wake" lakini baada ya kumpokea Lowassa na kuanza kusafisha ufisadi wake bila hata kurudi kwa wananchi hao hao na kuwaeleza ukweli kuhusiana na Lowassa".

Kitu kibaya zaidi Mh. Lema unapenda sana kumhusisha Mungu hata kwenye mambo ya uongo wa kisiasa nakuambia hii pekee ndiyo inakucost sana. Nakuomba utubu kwa Mungu kwa tabia yako hiyo mbaya isiyompendeza Mungu!

Mh. Lema kuhusiana na uchaguzi huu wa Madiwani kubali mmeshindwa kwa haki kama kuna dosari ni kidogo sana kufikia kumhusisha Mungu! Najua inauma kushindwa mpaka kwenye ngome yenu Arusha!!

Mh. Lema tafuteni tatizo liko wapi kwa kushindwa kwenu na wala si kulalamika tu!! Haiwezekani muonewe kwenye kata zote hizo mbona kuna zingine mmeshinda? Waelezeni wanachama wenu hali halisi ya kushindwa sio kusingizia vyombo vya dola kila mara mkishindwa!!
Na ndio ujinga wao. Wanajua wameshindwa kwa kura, alafu wanatafuta visingizio na kuwadanganya wananchi. Eti tunajitoa, baada ya kuona kipigo cha kura!
 
Ni maskitiko makubwa tunapokuwa na upinzani ambao viongozi wake badala ya kufanya siasa wanasubili kulalamika kwenye keyboard
 
Lema Acha uongo, uheshimiwa gani alio nao Magufuli, halafu unampa Maelezo Mareeefu wakati Uhuni woote huo kaufanya yeye! Unachofanya ni sawa na Kama Nyerere angemwita Nduli Amini mheshimiwa.

Mimi siamini katika kusugar coat, Magufuli ni Nduli! Na Joka sio mheshimiwa! Period
 
Miaka yote nilikuwa nawashangaa wale wasiopenda kupiga kura lakin sasa ninaungana nao sioni haja kupiga kura. Tume na polisi wanatosha kabisa kutuchagulia kiongozi
 
Back
Top Bottom