Lema, Mbunge anayekitia chama hasara

Not easy layman best you stay away with ua political propaganda and uchwara of uccm and not necessary once u receive 3/5k u must write or talk pumba as propesa pumba rt??????
Better you know information confidentiality
leta hoja, sio ulete broken english
 
Mkuu kuna mchango uliandika: "sasa hivi wanatamba mtaani na hoja ya Wabunge wa CCM kugawana pesa kwenye vikao vyao, unajiuliza hivi hizi hoja za jirani kala nini zinakuhusu nini wewe kama jirani?? (chamilo nicolous JF-Expert Member #70 Yesterday at 7:47 AM)"
 

Kwani kunatatizo gani kama wanachama tumekubaliana nalo.Kaa pembeni tuachie chama chetu
 


Mnajitahidi kueneza propaganda
 
Lema ajifunze siasa za kistaarabu na kutumia akili kama John Mnyika... Elimu, Elimu, Elimu.....
 
Demokrasia ina gharama kubwa.Maadamu watanzania tumekubali mfumo wa vyama vingi sioni tatizo kugharamia matumizi ya vyama na wanachama wake.
Unazungumzia demokrasia gani kamanda.kama ndani ya chadema tu demokrasia imeshindikana itawezekanaje ya kutafuta nje ya hapi. Ni ujinga
 
Nonsense mbona jamkumwambia mzee Mandela namna hiyo? Mbona jamkumwambia mwalimu namna hiyo,?
 
malipo haya ni matokeo ya ruzuku ambazo ni kodi za walala hoi, siwezi kuvumilia kuona zinatumika kihorera kwa mtu mpuuuzi
 
malipo haya ni matokeo ya ruzuku ambazo ni kodi za walala hoi, siwezi kuvumilia kuona zinatumika kihorera kwa mtu mpuuuzi
Umejibu vizuri sana ukiacha hiyo angle ya upuuzi, hivyo hivyo kama CCM wanagawana hela kiholela kwenye vikao vyao na CCM inapata ruzuku ni sawa basi watu kuhoji hata kama hayo yanatokea nyumba ya jirani.
 
Hiyo gharama ya mahakama ni zipi kwani kazi zinavyofanywa na watumishi wa mahakama ni waajiliwa wa serikali ukizingatia posho zote zimefutwa na mheshimiwa!

Huo muda wanaotumia kushughulikia kesi hii sio gharama? Huo muda ungetumika kutatua mrundikano wa mahabusu masikini wa kesi za kuku (ambao ndio majority) isingekuwa manufaa zaidi kwa nchi yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…