chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,112
- 1,494
habari za asubuhi wa JF.
Itakumbukwa kwamba hivi karibuni Lema mbunge wa Arusha ametiwa kizuizini kwa upuuzi wa kukosa hekima.
Inawezekana nimetumia neno gumu lakini mtu anaposhindwa kusimamia jambo pasipo sababu au kwa makusudi ni mpuuzi.
Hoja ni hii, jopo la mawakili 6 linalosimamia kesi linalipwa kwa mchanganuo huu:-
posho za kila siku @ 100000*6
gharama za usafiri @ siku 50000* siku kesi itakapo isha.
Ukitafuta jumla ya siku 7 ambayo kesi imetanjwa inafanya Tsh ( 600000*7) +(50000*7)=5.85milions
nakesi bado inatajwa.
Hizi pesa hazikuwa na ulazima wowote wa kutumika kama sii upuuzi wa Godbless Lema kutumia mdomo wake vibaya.
Jamaani tulione hili kiuzalendo, ruzuku za chama ni pesa za walipa kodi zinaniuma sana.
CDM tambueni pesa za wananchi ni kwa ajili ya maendeleo, tuzitumie vizuri
Kwani wewe inakuumiza chama chake kikimsaidiaKwani Lema si ana mshahara na posho zake ?! Iweje gharama za kina Kibatala zibebwe na CDM?!
Uchochezi at work.Kwani wewe inakuumiza chama chake kikimsaidia
Nenda ccm...CDM tubadilike
Nitashangaa kama CHADEMA italipia upuuzi wa "kuota" kwa Lema, upuuzi wa kumuotea vibaya Rais.Demokrasia ina gharama kubwa.Maadamu watanzania tumekubali mfumo wa vyama vingi sioni tatizo kugharamia matumizi ya vyama na wanachama wake.
Na serikali inaingia hasara kiasi gani kugharamia mambo ya ndoto za mtu?ujinga mtupuNitashangaa kama CHADEMA italipia upuuzi wa "kuota" kwa Lema, upuuzi wa kumuotea vibaya Rais.
Na hela hiyohiyo ni ruzuku toka serikalini.
Kama ni kweli basi hata CHADEMA kitakuwa chama cha kipuuzi!
Hii ni hoja ya msingi sana, hizi fedha ingefaa kujenga miundo mbinu mbalimbali kama vile ofisi etc.habari za asubuhi wa JF.