Kashindwa Mbowe na Dr Slaa ataweza Lema...
[h=1][/h]
Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema (Chadema)
Lema akishirikiana na wasanii watatu wa muziki wa kizazi kipya, John Mkoloni na wawili mapacha kutoka Kundi la Wagosi wa Kaya la jijini Tanga, ametunga nyimbo nne ambazo ni Jimboni, Mh Rais, Usiogope na Tunahusika.
Mh. Lema ni janga la taifa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

...kaka slaa na mbowe wameshimdwa nini, mbona naona kila kukicha presha yenu iko juu ? mnahaha kuwanunua vijana wa cdm mnasingizia mnawapa ushauri wa kufanikiwa kisiasa...! na nakumbuka mwenyekiti wenu alikiri cdm ni tishio halisi kwenye kikao cha juzi,kwani umesahau kaka...
yale yaleeeeeee!!!!
Wabunge wa tanzania 90% hawajuwi kazi zao! Sijuwi takataka zilizo kwenye ubongo wao zitatokaje, duh
..kwani wananchi kukosa elimu ya uraia ni mafanikio kwenu ?Wote walingombea urais wakaangukia pua.
sidhani kama kazi stahiki ya mbunge ni kuimba. kwangu mm sioni sababu ya lema kuimba si kazi yake afanye mambo ya ukweli amekuwa sana ujue na wanaomtegemea ni wengi kama ni kweli basi LEMA ni janga la CHADEMA tena zigo lisilobebeka kwa sababu hajui majukumu yake bonge la bichwa kubwa kumbe akili kiduchu. UCHURO HUU WA WANASIASA SIJUI TUTTAUONDOA VIPI