masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,859
- 15,055
Lema is history!Lema amewataja Ndg. Edward Ngoyai Lowassa, Ndg. Samweli Sitta na Ndg. Harisson George Mwakyembe kuwa ni kati ya vigogo walioomba kuhama kutoka CCM kuja CDM.
Source:
Nimehudhuiria mkutano wake wa jana!
Mimi simpendi EL. Lakini nikuambie siasa ni tofauti na unavoilewa. EL kuhamia CDM kavukavu tu kama ilivo sasa haitawezekana. Hilo litategemea kama ataonyesha pasipo shaka kuwa hakuhusika na kashfa hizo na kuwataja wahusika hasa. Hii itabidi iwe tukio la karne Katika siasa za Tanzania ili hilo liweze kutokea na watu pamoja na CDM tumwamini. EL kuhama ccm ni tulio linaweza hata kumwondosha JK madarakani kabla ya 2015.Hivi ina maana siku zote watu wa Chadema mnasema EL ni fisadi kwa kuwa tu yuko CCM? Mnamaanisha EL akihamia Chadema basi ufisadi manaomtuhumu unabaki CCM?
Ndio maana sipendi siasa na kazi za kisiasa.
Waje hao wengine ila siyo huyo mzee wa white hair (LOWASSA)
Lema is history!
Kwa Sitta na Mwakyembe kuhama CCM ni sawa na kituambia mto Pangani utabadili njia na kupanda mlima Kilimanjaro.
Mliokuwa mnafikiri Lema ni kichwa shuhudieni huo uozo.
chadema itasambaratika ndani ya mwaka-nyani
Mimi simpendi EL. Lakini nikuambie siasa ni tofauti na unavoilewa. EL kuhamia CDM kavukavu tu kama ilivo sasa haitawezekana. Hilo litategemea kama ataonyesha pasipo shaka kuwa hakuhusika na kashfa hizo na kuwataja wahusika hasa. Hii itabidi iwe tukio la karne Katika siasa za Tanzania ili hilo liweze kutokea na watu pamoja na CDM tumwamini. EL kuhama ccm ni tulio linaweza hata kumwondosha JK madarakani kabla ya 2015.
Huyo ndiyo Lema na hiyo ndiyo tabia yake ya uropokaji,kiongozi bora huyooo! Ha ha ha ha ha
Lema is history!
Kwa Sitta na Mwakyembe kuhama CCM ni sawa na kituambia mto Pangani utabadili njia na kupanda mlima Kilimanjaro.
Mliokuwa mnafikiri Lema ni kichwa shuhudieni huo uozo.
Mkuu mbona wote wako CCM sasa hivi na hushangai?Mwakyembe na Sitta wawe kambi moja na Lowasa? Kwa hili mimi nitakuwa Thomas.