Dhambi hiyo ya usaliti kwa wafuasi Wake ataitubu wapi na lini? Je atasema Chadema mbaya? Kwan hakuna vyama vingine lazima iwe CCM? Ataunga mkono kuuzwa bandari? Siamini kabisa. Maneno yake aliyokuwa anayasema kuhusu CCM atayafuta? Katiba nayo itakuwa imebadilika huko anakokwenda? Tume huru je? Nina maswali kibao .............. Najua ana akili timamu hawezikupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...
maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...
ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...
kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....
baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...
mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...
ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema....
muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
Lemma hakukubaliana na maridhiano na CCM halafu yeye anahamia huko CCM,what a contradiction!!!kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...
maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...
ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...
kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....
baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...
mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...
ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo....
muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
Atapokewa na Bodaboda?Dhambi hiyo ya usaliti kwa wafuasi Wake ataitubu wapi na lini? Je atasema Chadema mbaya? Kwan hakuna vyama vingine lazima iwe CCM? Ataunga mkono kuuzwa bandari? Siamini kabisa. Maneno yake aliyokuwa anayasema kuhusu CCM atayafuta? Katiba nayo itakuwa imebadilika huko anakokwenda? Tume huru je? Nina maswali kibao .............. Najua ana akili timamu hawezi
Kuhusu CHADEMA ninaamini taarifa anazotoa Erythrocyte na si vinginevyokupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...
maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...
ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...
kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....
baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...
mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...
ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema....
muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
Propaganda za kijinga sana tena duni mno! Tangu uingie JF wewe ni tetesi tu, hivi hujawahi kuwa na habari zingine?kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...
maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...
ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...
kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....
baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...
mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...
ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo....
muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
Lemma ni Bora afe sio kwenda CCMPropaganda za kijinga sana tena duni mno! Tangu uingie JF wewe ni tetesi tu, hivi hujawahi kuwa na habari zingine?
Hakika ccm ina vijana Wajinga sana!
View attachment 3018892
Hii itakuwa ndoto ya saa sita mchana🤣🤣kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...
maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...
ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...
kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....
baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...
mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...
ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo....
muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
Can you even be carried away by simple and cheap words like these sweetheart?Muda utaongea
Wangempokea haraka kuogopa asije kubadili mawazo.Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Hapa sisi wasomi tuliokuwa huru kiakili ndio tunapata shaka. Lema aombe kujiunga usiku basi alfajiri mapema angalipokelewa tena kwa media zote kuwa live.
Huyu dogo ni mjinga sanaKuhusu CHADEMA ninaamini taarifa anazotoa Erythrocyte na si vinginevyo
Ile ndoto ya LEMA iliyopelekea akaenda KISONGO ninyi wana CCM mnaichukuiliaje hasa baada ya kutimia kama alivyo tabiri kupitia ndoto ile?kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika...
maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa mda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikua zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi...
ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na chadema
mnyetishaji alidokeza...
kilicho chochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi wa kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urasi kupitia chadema 2025....
baada ya kutathimini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakua na mwisho mwema, lema alianza kujiweka pembeni na baadae akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu chadema, na ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua...
mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba...
ndipo kamanda lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi moja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya, kwa ahadi kwamba muandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo....
muda utaongea zaidi,
lema atalamba dume ccm kama wengine au atalamba garasa? 🐒
It depends, wanasiasa hawaaminikiCan you even be carried away by simple and cheap words like these sweetheart?
Cha msingi ni kutowaweka sana akilini mwako maana ipo siku uliowaamini watafanya kitu ambacho kitakusononesha na kuutesa moyo wako.It depends, wanasiasa hawaaminiki
NdioHivi bananga yupo ccm??
Yap, Wapo kwa maslahi yao binafsiCha msingi ni kutowaweka sana akilini mwako maana ipo siku uliowaamini watafanya kitu ambacho kitakusononesha na kuutesa moyo wako.
Hata dkt Slaa mlikuwaga mnamwita Rais wa mioyo yenu na baba yenu lakini mwisho wa siku mkaanza kumporomoshea matusi.CCM Kwa uzushi ni balaa. Wameanzisha Uzi watu wajadili uzushi.
Tuseme kaja CCM ndiyo itakuwaje!!??