Lema kuongea mda huu kuhusu kamati ya Maliasili juu ya operation tokomeza

Bangi mbaya sana...

unaishi dunia ya wapi wewe, wenzako weshaihalalisha, luis shuarezi akiwa kwao anaruhusiwa kulima, kusambaza, kuuza na kutumia!!!

jikwamue kwenye fikra za kitumwa. ccm inakufa tartiiiiiiiiiiiiibu huku mmeizunguka hamuamini.
 
Mwigulu umeipata msg ya kamanda Lema? Huo moto otea mbali wewe bakia na kutafuta visa na mitego ya kina Ludovick na maneno ya kanga.
Bravo Lema siasa zako ndizo tunazozitaka manake kama sheria haifanyi kazi piga mtu jabali.
 
Mh. Lema anatoa hoja nzito bungeni sasa huku akisikitishwa na mambo
****usalama wa taifa chini ya mh mkuchika wanafanya nini hawana taarifa juu ya haya manyanyaso? Zaidi ya kuzuia maandamano ya chadema?
****kagasheki anafanya nini hapa la kukwepa katika shutuma hizi
*****Anamtetea mathayo David kwamba yeye pia mifugo imeuawa kwanini aamrishwe kujitazama upya
*****anawataja mawaziri wanaotakiwa kuachia ni pamoja na
---mkuchika(kwa mkazo)
---nchimbi ang'oke
---vuai shamsi atoke
---kagasheki ajinasue
 
Mara zote nikisikia "rais anapotoshwa na washauri wake" najiuliza huyo rais ni mtoto mdogo? Hao washauri wamechaguliwa na nani?

Katika nchi ambayo rais ana madaraka makubwa kama Tanzania, mambo yakienda ovyo, rais hawezi kuepuka lawama.

Rais Harry S. Truman (ama msaidizi wake, kwa mujibu wa historia gani unasoma) katika mizunguko yake, alifika ofisi ya boss mmoja, akaona mezani kwa huyo bosi kuna kibao kimeandikwa "the buck stops here". Katika taasisi kuna tabia ya kutupiana kazi na majukumu, mtu anapewa kazi anasema hii si kazi yangu, ipelekeni huko, etc. Au kitu kikienda ovyo watu wanaanza kulaumiana, huyu anasema huyu ndiye mwenye lawama, na mwingine naye anajibu wewe ndiye mwenye lawama. Huyo bosi alimaanisha kwamba, lawama/ majukumu yote ya uongozi yanaishia mezani kwake. Truman aliipenda sana hii kaulimbiu kwa maana ilionesha kiongozi anayependa kuchukua majukumu badala ya kukwepa lawama. Truman akaifanya ile kaulimbiu kuwa yake, na matatizo

Truman: The Buck Stops Here

Tuliona wakati Hilary Clinton analaumiwa kwa matatizo ya consulate ya Marekani Benghazi, rais Obama alichukua jukumu kwamba lawama zimuendee yeye, si Hilary. Huyu ni kiongozi anayejua kwamba yeye kama rais lawama zote zinaishia kwake.

Rais wetu hawezi kusema kitu kama hicho, kwa sababu anaogopa lawama na kupenda sifa. Na kama watendaji wake wanapata lawama kwa sababu yeye hajawa na uongozi unaotakiwa, hawezi kukubali hilo.

Tunahitaji kiongozi anayeweza kukubali lawama, noblesse oblige, with great power comes great responsibility. Ukubwa gunia la lawama.
 
Mbunge machachari wa Arusha mjini kupewa mda wa kuzungumzia juu ya operation tokomeza.

Na ameomba Mkuchika nae aingie kwenye kapu la kuondoka.

Ambatiza Mkuchika kuwa sio kwamba ni bomu tu bali ni kipindupindu


1379266764_tumblr_mrucidtCgr1rjkj6qo1_500.jpg Lema.jpg FY.jpg
 

Attachments

  • index.jpg
    index.jpg
    10.1 KB · Views: 157

Similar Discussions

Back
Top Bottom