Kwani ccm wote ni wakristo?Kwa miaka 23 tumeshuhudia nchi ikiongozwa na utawala wa Visasi,Chuki na Ubaguzi. Wanachopanda ndicho watakachovuna.Hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho.Hata Yesu aliishi miaka 33 na alikuwa Mwana wa Mungu Sembuse CCM
Wamefanya mkutano bila kufuata taratibu stahikiManeno ya Lema si ya kupuuzwa hata kidogo, anajua anachokifanya na ndio maana anaongea kwa kujiamini, hata mimi nakiri wazi kabisa..time alone..time will tell..huwezi ukapeleka mambo kiubabe bila kufuata maridhiano aisee! Mayor na viongozi wa dini waliokamatwa wana makosa gani? dah
Kwani padre hawezi kufanya kosa?Mzee wa Visasi na Chuki aka Mrisho Gambo anatekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Maana Ilani ya CCM ni Visasi na Chuki,Ika simshangai dini yake inamruhusu.
Ika kuweka ndani Mapadre wetu atalupua hilo.
Ndio maana niliwahi leta mada nikashauri CHADEMA iongozwe na watu aina ya Tundu Lissu au Lema ila nakumbuka sikueleweka na nilishambuliwa na baadhi ya watu humu ambao ni pro-CHADEMA.Salary Slip Ar achunga kumekuwaje siku hizi? Au ndio siasa za upole za Edo hizo? Mbona zamani ujinga kama huu taifa zima lingekuwa kwenye taharuki?
Acha sie tuu, hata hapo Kenya kiongozi wa upinzani hafanyiwi uhuni namna hiyo na vijana wakanywea namna hiyo!
Hata kidogo kuna jambo, sii pendi ccm ila naanza kuchukia jinsi Chadema nayo inavyo anza kuwa mdebwedo
Haki yao kisheria lkn mkuu wa polisi anaruhusiwa kukaa na mtuhumiwa mpk mwezi mmoja akiona inafaa.Mmekula rambirambi mmeona haitoshi mmewakamata na watoa rambirambi na kuzuia dhamana zao ni haki yao kisheria.
Mna laana nyie
Kama wewe na GamboHili ni fundisho kwa wote wanaoingiza siasa kwenye misiba...yaani hata maiti hazijapoa watu wanataka kujichukulia umaarufu wa kisiasa.
Acha wakae hadi next week ili wajitambue
Kosa sio rambirambi ni mkutano wenye vionjo vya kisiasaKisa tu RAMBIRAMBI ndio yote yanatokea..Duuh
Wamefanya mkutano? Hii ndio kwanza naisikia kutoka kwako mkuu..anyway kwa nini wasipelekwe mahakamani basi..kwani sheria inasemaje juu ya mtuhumiwa kukaa mahabusu zaidi ya saa 24? Tusaidiane katika hilo mkuu!Wamefanya mkutano bila kufuata taratibu stahiki
Hiyo ni jinai isiyodhaminika!Wamefanya mkutano bila kufuata taratibu stahiki
Ni lazima mpuuzi ajivunie upambavu kama unavyofanya.Lema naye alisema natoka Next Week alikata miezi mahabusu haya tumekusikia lema
Wafungwa wote magerezani wamefungwa sab ya chuki au uhalifu wao?Mnafurahia leo mnaahindwa kuelewa kuna kesho pia.Hata Adam Malima alikuwa kama wewe juzi akalala Mahabusu.
Yona na Mramba walikuwa kama wewe wakalala Keko.
Chenye mwanzo kina mwisho,hata Yesu pamoja na kwamba alikuwa Mwana wa Mungu bado aliishi miaka 33 tu.
Kesho yako hujui,tathmin maneno yako.Chuki,visasi na Ubaguzi havikuongezei hata urefu wa kucha yako.
Chuki,visasi na Ubaguzi haujengi Taifa Bali hulibomoa Taifa vipande vipande.
Nenda kamsikilize JKN alivyoasa kuhusu Chuki,visasi na Ubaguzi. Labda utamuelewa.
Kikubwa CCM ilikuwa n JKN iliyobaki ni Chama Cha Mauaji.
Wamelazimishaje?Serikali inapolazimisha rambirambi lazima zipitie kwao ni utawala wa awamu hii ingekuwa michango ya vita vya Kagera si wangetajirika sana
Mara kukutana bila kibali,mara vionjo vya kisiasa!Which is which??Nchi yetu sote,mtamtafuta mchawi siku mojaKosa sio rambirambi ni mkutano wenye vionjo vya kisiasa
Haki yao kisheria lkn mkuu wa polisi anaruhusiwa kukaa na mtuhumiwa mpk mwezi mmoja akiona inafaa.
Mayor alikuwa anasimuliwa habari za mahabusu na lema sasa atayaona mwenyewe....
Nyie endeleeni kufurahia na kuchochea unyanyasaji,Lema naye alisema natoka Next Week alikata miezi mahabusu haya tumekusikia lema
Wenye busara wengi ndani ya ccm hawapendezwi na mambo haya!Hawawezi kusema kwani mambo yanayomfurahisha mkuluAibu hii hata haiwapendezi wana ccm, ilawale wenye kukosa utu kama Gambo na baba ake, yaani ingekuwa ni familia yake imepata msiba angeweka masharti ya kutoa rambirambi?