Lema keshaondoka Dodoma?

mshauri mchaga mwenzako asiache pesa aisee. ni dhambi kubwa kwa mchaga kuacha pesa

unapokuta wanaume wamekaa sebuleni wanazungumza wewe unatoka jikoni kupika na kudandia mada utapewa talaka.changia hoja acha ukabila wa kijinga we mla sembe
 
mind your own business
Kivipi kaka?! Mbona wakati anatangazia umma yeye haku mind his own business, na wewe kwa nini hukumkumbusha a mind his own mind na asiwahusishe watu uamuzi wake. Chezea ZE POSHO WEYE? Haondoki ng'o. Kama unabisha tupinge
 
Haondoke aende wap nyie manyang'au wa siasa, alisema anajadiliana kwanza na viongozi wa UKAWA then ndio afanye maamuzi nadhani cha kujiuliza viongozi wa UKAWA wamemshauli nini? au shauku yenu ni kuona ameondoka.

'Haondoke', 'wamemshauli' naona mahaba kwa lema yamekuzidi mpaka unaamua kuongea kikwenu
 
hajaondoka Zile zilikuwa stim za bangi.

Lema Enzi zake alikuwa akivuta Kiroba cha Bangi kwa Siku ,siku hizi anavuta misokoto michache tu, lingelikuwepu bunge la wavuta bangi Lema angekuwa Spika.
 

Kwani mini alisema angeondoka lini?
 
unapokuta wanaume wamekaa sebuleni wanazungumza wewe unatoka jikoni kupika na kudandia mada utapewa talaka.changia hoja acha ukabila wa kijinga we mla sembe

Mmarangu original yaani mkabila mjinga umekosa majina yote mpaka utuletee uchaga humu
 
Lema hawezi kuondoka Dodoma kwani anapenda pesa kuliko Mbunge yeyote , sana,sana anaombea siku ziongezeke ili zifike hadi siku za bunge la Bajeti ili apige hela Chezea Lema wewe....
 
Kivipi kaka?! Mbona wakati anatangazia umma yeye haku mind his own business, na wewe kwa nini hukumkumbusha a mind his own mind na asiwahusishe watu uamuzi wake. Chezea ZE POSHO WEYE? Haondoki ng'o. Kama unabisha tupinge

Jamani bora abakie alambe posho, maana akikosa posho atarudia ujambazi na u "Mini K".
 
Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂

Atakuwa wa mwisho kuondoka Dodoma hawezi kuondoka aache Posho.
 
Ujinga huu mungu saidia watanzania wajinga yani lema kutingisha tu mmechukulia kigamba gamba?

Mziki wa mwanza hujauona?ndio lema kaondoka hivyo ulitaka nini zaidi?kimyaaaa....
 
UKAWA wamenikataza,wameniambia hakuna kutoka hapa mpk kieleweke.kaka yangu Lissu amenipa falsafa ya "winners never quite" nkamuelewa. Makamanda,mimi nipo
 
Kinana anaimarisha chama .....nyie mwakomaa na katiba....Mkija kurudi kwenye M4C ....wenzenu wanapiga hatua nyingine ....siasa z a KITI CHA DALALALA au CHUMBA CHA guest/lodge
 
Hivi.Soto anapokea hizo piano?????
 
na akiondoka arudishe ile laptop na simu inavyosemekama waliviiba yeye na SUGU kutoka kwa wabunge wenzao
 
Mchaga akimbie pesa....!! Sijawahi ona mchaga akakimbia pesa na akiondoka tu dom huyo mama yake itakuwa amemzingizia tu mzee lema
 


HUYU NDIYE GODBLESS LEMA AMBAYE ALITANGAZA KUONDOKA BUNGENI LEO JUMATATU TAREHE 31 MACHI 2014. HAPA AKIWA AMEBEBA CHAI KWENYE CANTEEN YA BUNGE KAMA ALIVYOKUTWA LEO ASUBUHI. NA POSHO PIA AMECHUKUA.
 
Lema alisema yeye binafsi amedhamiria kuondoka wiki ijayo na alichokuwa anasubiri ni baraka za viongozi wake wa UKAWA na angeeleza sababu za uamuzi wake kabla ya kuondoka. Inawezekana ameshawishiwa na UKAWA abaki.

Pili, wiki aliyoitaja Lema haijaisha ! Hakusema nitaondoka J'tatu alisema nimedhamiria kuondoka wiki Ijayo ambayo inaisha Ijumaa. Kwa hiyo kama unataka kumsema kwamba hakusimamia maneno yake subiri kwanza wiki iishe !

Hii ni ''wiki ijayo'' ambayo Lema alitujuza kuwa ataondoka Dodoma,tafadhali aage kuwa keshaondoka🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…