Lema kaonesha tofauti kubwa sana katika hili


Mkuu net hatukuhitaji kuchangiwa na mtu kwani net zote ni sawasawa na twiga wangapi, makampuni magapi ya madini haya lipi kodi na yakilipa yana lipa 3%.....
 
Omba omba ni omba omba tu huwezi kuharalisha uomba omba eti huyu kaomba kwa wazungu na huyu kaomba kwa watanzania! wote ni omba omba!
Mbona Obama na Mit Romney huko Marekani ni omba omba kulingana na kauli yako. This is community mobilization my friend
 
Hii presha ya m4c ni nouma maana watu wamehamasika hadi kuchangia yai!...
 
Acha kutoa mapovu kiasi hiki!
Changia mabadiliko ktk Nchi yako iliyoko mikononi mwa mafisadi!


 
Ndugu zangu tulioughaibuni sio kwamba tunashindwa kuchangia maendeleo ya nchi yetu, shida ni kwamba hata ukituma pesa zinaishia kwa mafisadi. angalia misaada yote tunatopewa na wenzetu kiasi kikubwa kinaishia wapi kama siyo kwa mafisadi.
 
Tuma Neno " CHADEMA" kwenda 15710. utakatwa TZS 500 tu.

Jamani mbona jana wamekuwa wakituma msg kuwa umechangia sh 350 tu? Anyway, nilituma mara nyingi sana maana sina m pesa, natumia tigo.
 
Hivi mods hamuwezi kufanya hiyo LIKE mtu akaweza kulike zaidi ya mara moja!. Mana mi naona LIKE moja tu haitoshi!.
 
Mungu jaalia mafanikio yatafika tu! Kiukweli Lema kaonesha mfano wa hali ya juu! Shukran keep it up! Maendeleo yataletwa na wenye uzalendo wa kweli
 
Aiseeee baba yangu izo gari zikija mnijulishe nije dar es salaam tanzania nitazipiga furu teki
haki ya mama

ngoja nipige pafu mbege yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…