Hili ndio Bunge la Tanzania, watanzania tustuke

simon mato

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
926
484
Ndugu wanajamvi,

Baada ya ikulu sehemu sahihi takatifu ya kukomboa watanzania na waheshimiwa wabunge wanatakiwa watu wenye hekima,maarifa na busara nasema haya nikiwa watanzania wameshuhudia mambo yanayoendelea bungeni ni kama siyo ile tulilolitaka, hii hapa ndiyo sura mpya ya bunge letu tukufu lilivokuwa linaonekana kabla JOB NDUGAI hajawasili;

1: BUNGE LILIGEUKA KUWA KUMBI LA DISCO: na hapa nasema ukweli bila kumung'unya maneno, vitendo vilivokuwa vinafanywa na Sugu na genge lake ni vitu ambavyo Mimi naamini vinafanyika kwenye kumbi la disko, Sugu anadiriki hadi kuonyesha watu kidole cha kati hii nini maana yake?

Hii dhana ya kidole cha kati ina historia ndefu ila kwa ufupi ni tusi lililobuniwa na waamerika weusi au jina maarufu " MANIGA" walipokuwa wapo disko na waamerika weupe hili ndio ishara walilokuwa wanalitumia kuwatusi hawa wazungu maana yake naisi kila mtu anaijua ni vyema nisiiweke kwa sababu ya kuheshimu sheria zetu za mtandao.

Sasa hii ni ishara tosha kuwa mhe. SUGU yeye kwake ni bunge siyo chombo cha kuandaa sheria yeye kwake bunge ni kumbi la disco akiamua anacheza tuuh kwakuwa anajua ata akiadhibiwa atapata nafasi ya kucheza tuuh siku nyingine.

Mtu kama SUGU kwanza nashangaa kuwa naye anajiita mbunge na mtetezi wa wanyonge huyu bora angeendelea na kipaji chake huku kwingine hakuna msaada wake ata kidogo. Ni bora ata tukamchukuea mtoto wa darasa la saba Mbeya anayejua nini maana ya bunge akaketi pale kuwatetea wanyonge siyo huyu mcheza disco kuendelea kula hela zetu bure walipa kodi.

Huyu huyu SUGU ndiye kinara wa fujo tokea enzi za JK yaani yeye bunge likiarishwa kwa muda kwa kutokea fujo anashangilia kwa kuwa watanzania watamwona kwenye taarifa ya habari, hii ndio aina ya wabunge tulio nao watanzania.

2: BUNGE KUGEUKA KUWA MGAHAWA: hii hasa lilishamiri kipindi DK.Tulia analiongoza bunge jukumu kubwa la wabunge wetu hasa UKAWA lilikuwa ni kumsema MAGUFULI kwenye migahawa kwa nyakati tofauti. Yaani mbunge anafurahia mda wa kula kwenye migahawa kuliko mda wa kuchangia hoja bungeni kwa sababu pale migahawani anajua yupo huru kuweka propaganda ya aina yoyote.

Ndio maana kama mnakumbuka kipindi DK .Tulia analiongoza bunge wabunge wa UKAWA walikuwa wanaenda kuzurura tuuh maeneo hayo bila kushiriki kwenye mdahalo wao walikuwa wanasubiria mda wa kula na kunywa ufike waende migahawani lengo ni kumsema tuu MAGUFULI.

Ni uhakika mpaka Leo kuna wabunge kama sugu na genge lake wanafuraia mda wa mgahawa kuliko mda wa mdahalo wa kuchangia mambo ya maslahi ya taifa hili. Juzi tumemsikia mhe.BASHE akilalamika kuwa si vyema mbunge anayelipwa na hela za wanyonge kutoshiriki kwenye midahalo ya kuwatetea watu wao bungeni. Jibu la bashe ni kuwa kuna baadhi ya wabunge wanalijua bunge ni kumbi la disco au ni mgahawa.

3: BUNGE KUGEUKA SEHEMU YA KUPIGIA SELFIE: ninachokijua kila kitu kina mda wake na sehemu yake lakini hili la wabunge wetu hasa upinzani nimekuwa nikifuatilia naona wameligeuza bunge kuwa uwanja wa selfie kila mda utaona wakirusha picha mtandaoni na ujumbe Fulani au pasipo ujumbe.

Hii ni dhairi wengine wanaenda bungeni ilimradi tuuh wapige picha za kuonyesha watanzania kuwa alikuepo bungeni lakini yawezekana mda wa kuchangia mada yeye alikuwa kimya kama bubu.

Mfano; Tuangalie nchi za wenzetu siku ya bunge ni siku ya taifa kukaa kimya na kuwasikiliza ni siku ya furaha ya nchi kwa utetezi wa ki maslahi ya watu wao wabunge wanaenda kwa heshima. Lakini hili la kwetu la kupiga selfie na kuondoka halafu unairusha mtandaoni kusubiri kuhesabu likes na comments hii sio bunge.

MSIGWA juzi ametoka ujerumani atakuwa ametoka na mfano Mzuri, nahisi ata yeye atakuwa amebadilika maana naye naona ni muumini wa kuanika picha ata juzi alipokuwepo ujerumani ashaweka sijui na yeye anasubiri likes na comments.

4: BUNGE KUGEUKA KUWA UWANJA WA VIJEMBE NA KUTUNISHANA MISULI: eeeh mda mwingine waga nacheka tuuh nikiangalia bunge maana sehemu tukufu inapogeuka kuwa kama kambi ya wavuvi bora ata kuna wavuvi wastaarabu unaweza ukamleta bungeni na akawa na nidhamu ya bunge tunalolitaka.

Kutunishana msuli na vijembe inapotamalaki sehemu kama ile basi haina budi tukawategemea hawa watu kuwa watetezi wa wanyonge. Ni Mara mia tumchukue mzee warioba pamoja na uzee wake wote kuliko kumlipa MTU kama Sugu ambayo kwake ni bunge ni kumbi la disko, mzee warioba atasaidia maarifa, hekima na busara pale bungeni.

Ni bora tumchukue POLEPOLE tumpeleke bungeni kuliko kuwa na LEMA au HALIMA MDEE ambao kwao bunge ni uwanja wa kutunishana misuli na MWAKIEMBE bila hoja za msingi.POLEPOLE ataisamia serikali kwa kujenga hoja yakinifu na zenye utetezi wa wanyonge.

Mwisho naomba nimshukuru spika wetu JOB NDUGAI kwa kuweza ku moderate haya makundi yote ambao wengine bado akili zao kama wahuni wa mtaani, chukulia mfano HALIMA kuingiza lugha za mtaani bungeni na vijembe vya hapa na pale sijui waga aangalii ata bunge ya uingereza au ujerumani. Wabunge wetu tunaomba mbadilike muijue maana ya bunge.

La sivyo tunamuomba mhe.NAPE waziri mwenye dhamana ni Mara mia bunge liwe gizani tororo kuliko kuona vibweka, vijembe na lugha za disco hii ni aibu kwa taifa letu. Wabunge wamepewa dhamana kubwa sanaaa na wananchi waitendee kazi hatutaki vijembe na kejeli kwenye mahali tukufu kama pale.

Safari ya kuelekea uchumi wa kati bado inaendelea;

Ni wako kijana muadilifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli Tanzania.

SIMON MATO.
 
Hv kuendesha bunge gizani ndo uzalendo ? Akili za kichawi ni kuona giza ndo kinga yao....ni matahira tu ndo wanaona ni sahihi bunge kutokuwa live ..
 
Dogo hivi kweli uko sawa kichwani?

Mods please jaribuni kuchuja michango inayokuja humu! Hadhi ya jf inazidi kuporomoshwa
Mmmmmh!! Mtu ambaye amekufa kifikra najua siku zote yupo gizani yafaa kumpuuza milele na milele
 
Kijana mwenye sifa usifiwa na watu wengine hawezi kujisifu mwenyewe,hata kama unajitambua la sivyo utaonekana limbukeni ili hali we ni glitter akuwa makini sana na kupost mada hatuko chuo kusomea mitihana ila tupo kwenye ulimwengu wa mijadala yenye weledi na akili,masuala ya utoto na kusomea cheti yaache darasani
 
Kama vijana wazelendo wa Kitanzania wanafikiri hivi basi uzalendo utakosa maana!
 
Kijana mwenye sifa usifiwa na watu wengine hawezi kujisifu mwenyewe,hata kama unajitambua la sivyo utaonekana limbukeni ili hali we ni glitter akuwa makini sana na kupost mada hatuko chuo kusomea mitihana ila tupo kwenye ulimwengu wa mijadala yenye weledi na akili,masuala ya utoto na kusomea cheti yaache darasani
Ata kuandika kwako inaonyesha kuwa wewe elimu yako ni shaka mno! Hivo sitachukua mda wangu kupoteza mda wa kujibizana na mtu ambaye elimu yake ni ya shaka
 
Ushauri wa bure, analysis yako ingekuwa nzuri sana kama usingekuwa biased, umeandika kwa kuwa-sample wabunge wa Upinzani peke yake ambao ni wachache sana ukilinganisha na wa CCM.
Kwahio nimejifunza jambo moja jema toka kwako; Wabunge wa Upinzani wana nguvu zaidi kuliko wabunge wote na mawaziri wote wa CCM. Hiawezekaani kweney analysis nzima umtaje Tulia na Ndugai tu ukamuacha mtu kama Lusinde, Yule mtoto wa Celina kombani, Yule mbunge demu aliyetaka kulia ili bunge lisionyeshwe laive, wote hao umewaacha! Au unataka kunambia Lusinde ana akili na ujenzi wa hoja kumzidi Sugu?
 
Ndugu wanajamvi,

Baada ya ikulu sehemu sahihi takatifu ya kukomboa watanzania na waheshimiwa wabunge wanatakiwa watu wenye hekima,maarifa na busara nasema haya nikiwa watanzania wameshuhudia mambo yanayoendelea bungeni ni kama siyo ile tulilolitaka, hii hapa ndiyo sura mpya ya bunge letu tukufu lilivokuwa linaonekana kabla JOB NDUGAI hajawasili;

1: BUNGE LILIGEUKA KUWA KUMBI LA DISCO: na hapa nasema ukweli bila kumung'unya maneno, vitendo vilivokuwa vinafanywa na Sugu na genge lake ni vitu ambavyo Mimi naamini vinafanyika kwenye kumbi la disko, Sugu anadiriki hadi kuonyesha watu kidole cha kati hii nini maana yake?

Hii dhana ya kidole cha kati ina historia ndefu ila kwa ufupi ni tusi lililobuniwa na waamerika weusi au jina maarufu " MANIGA" walipokuwa wapo disko na waamerika weupe hili ndio ishara walilokuwa wanalitumia kuwatusi hawa wazungu maana yake naisi kila mtu anaijua ni vyema nisiiweke kwa sababu ya kuheshimu sheria zetu za mtandao.

Sasa hii ni ishara tosha kuwa mhe. SUGU yeye kwake ni bunge siyo chombo cha kuandaa sheria yeye kwake bunge ni kumbi la disco akiamua anacheza tuuh kwakuwa anajua ata akiadhibiwa atapata nafasi ya kucheza tuuh siku nyingine.

Mtu kama SUGU kwanza nashangaa kuwa naye anajiita mbunge na mtetezi wa wanyonge huyu bora angeendelea na kipaji chake huku kwingine hakuna msaada wake ata kidogo. Ni bora ata tukamchukuea mtoto wa darasa la saba Mbeya anayejua nini maana ya bunge akaketi pale kuwatetea wanyonge siyo huyu mcheza disco kuendelea kula hela zetu bure walipa kodi.

Huyu huyu SUGU ndiye kinara wa fujo tokea enzi za JK yaani yeye bunge likiarishwa kwa muda kwa kutokea fujo anashangilia kwa kuwa watanzania watamwona kwenye taarifa ya habari, hii ndio aina ya wabunge tulio nao watanzania.

2: BUNGE KUGEUKA KUWA MGAHAWA: hii hasa lilishamiri kipindi DK.Tulia analiongoza bunge jukumu kubwa la wabunge wetu hasa UKAWA lilikuwa ni kumsema MAGUFULI kwenye migahawa kwa nyakati tofauti. Yaani mbunge anafurahia mda wa kula kwenye migahawa kuliko mda wa kuchangia hoja bungeni kwa sababu pale migahawani anajua yupo huru kuweka propaganda ya aina yoyote.

Ndio maana kama mnakumbuka kipindi DK .Tulia analiongoza bunge wabunge wa UKAWA walikuwa wanaenda kuzurura tuuh maeneo hayo bila kushiriki kwenye mdahalo wao walikuwa wanasubiria mda wa kula na kunywa ufike waende migahawani lengo ni kumsema tuu MAGUFULI.

Ni uhakika mpaka Leo kuna wabunge kama sugu na genge lake wanafuraia mda wa mgahawa kuliko mda wa mdahalo wa kuchangia mambo ya maslahi ya taifa hili. Juzi tumemsikia mhe.BASHE akilalamika kuwa si vyema mbunge anayelipwa na hela za wanyonge kutoshiriki kwenye midahalo ya kuwatetea watu wao bungeni. Jibu la bashe ni kuwa kuna baadhi ya wabunge wanalijua bunge ni kumbi la disco au ni mgahawa.

3: BUNGE KUGEUKA SEHEMU YA KUPIGIA SELFIE: ninachokijua kila kitu kina mda wake na sehemu yake lakini hili la wabunge wetu hasa upinzani nimekuwa nikifuatilia naona wameligeuza bunge kuwa uwanja wa selfie kila mda utaona wakirusha picha mtandaoni na ujumbe Fulani au pasipo ujumbe.

Hii ni dhairi wengine wanaenda bungeni ilimradi tuuh wapige picha za kuonyesha watanzania kuwa alikuepo bungeni lakini yawezekana mda wa kuchangia mada yeye alikuwa kimya kama bubu.

Mfano; Tuangalie nchi za wenzetu siku ya bunge ni siku ya taifa kukaa kimya na kuwasikiliza ni siku ya furaha ya nchi kwa utetezi wa ki maslahi ya watu wao wabunge wanaenda kwa heshima. Lakini hili la kwetu la kupiga selfie na kuondoka halafu unairusha mtandaoni kusubiri kuhesabu likes na comments hii sio bunge.

MSIGWA juzi ametoka ujerumani atakuwa ametoka na mfano Mzuri, nahisi ata yeye atakuwa amebadilika maana naye naona ni muumini wa kuanika picha ata juzi alipokuwepo ujerumani ashaweka sijui na yeye anasubiri likes na comments.

4: BUNGE KUGEUKA KUWA UWANJA WA VIJEMBE NA KUTUNISHANA MISULI: eeeh mda mwingine waga nacheka tuuh nikiangalia bunge maana sehemu tukufu inapogeuka kuwa kama kambi ya wavuvi bora ata kuna wavuvi wastaarabu unaweza ukamleta bungeni na akawa na nidhamu ya bunge tunalolitaka.

Kutunishana msuli na vijembe inapotamalaki sehemu kama ile basi haina budi tukawategemea hawa watu kuwa watetezi wa wanyonge. Ni Mara mia tumchukue mzee warioba pamoja na uzee wake wote kuliko kumlipa MTU kama Sugu ambayo kwake ni bunge ni kumbi la disko, mzee warioba atasaidia maarifa, hekima na busara pale bungeni.

Ni bora tumchukue POLEPOLE tumpeleke bungeni kuliko kuwa na LEMA au HALIMA MDEE ambao kwao bunge ni uwanja wa kutunishana misuli na MWAKIEMBE bila hoja za msingi.POLEPOLE ataisamia serikali kwa kujenga hoja yakinifu na zenye utetezi wa wanyonge.

Mwisho naomba nimshukuru spika wetu JOB NDUGAI kwa kuweza ku moderate haya makundi yote ambao wengine bado akili zao kama wahuni wa mtaani, chukulia mfano HALIMA kuingiza lugha za mtaani bungeni na vijembe vya hapa na pale sijui waga aangalii ata bunge ya uingereza au ujerumani. Wabunge wetu tunaomba mbadilike muijue maana ya bunge.

La sivyo tunamuomba mhe.NAPE waziri mwenye dhamana ni Mara mia bunge liwe gizani tororo kuliko kuona vibweka, vijembe na lugha za disco hii ni aibu kwa taifa letu. Wabunge wamepewa dhamana kubwa sanaaa na wananchi waitendee kazi hatutaki vijembe na kejeli kwenye mahali tukufu kama pale.

Safari ya kuelekea uchumi wa kati bado inaendelea;

Ni wako kijana muadilifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli Tanzania.

SIMON MATO.
nikumbushe adhabu gani natapata nikikumwagia mitusi?
 
Selfie huwa ina shida gani si ni picha ya kumbukumbu?

Unadhan wenzio waoga kama wewe?
 
Eeeh vijana wa CHADEMA kwahyo ni alali kabisaa mbunge kuchaguliwa kwenda kupiga selfie Dodoma hivi mna ugonjwa gani nyie!!!
 
Mi si kijana wa Chadema sijawahi kuwa.

Unaacha kuongelea Mambo muhimu kama ESCROW, Lugumi, IPTL,Richmond,wanyama kupanda ndege n.k kwamba unadiscuss hayo.
 
Haya yote yanasababishwa na kukataa kukosolewa /na kukubali ushauri mbadala ,kila kitu ni kusema ndiyoooooo, na kugonga meza,,
 
Back
Top Bottom