Lema kaonesha tofauti kubwa sana katika hili

Nathibitisha hili;
Ni nissan navara adventura double cab nne ambazo zimetolewa na Chadema tawi la london.
zitaondoka na meli ya mwisho wa mwezi kwenda kuanza kazi bongo. Wakati wengine wanatembea na mikasi mfukoni tayari kwa kukata utepe, na wengine kutembea na masanduku yao tayari kwa safari sisi tunafanya kweli hadi vijijini.
M4C mpaka kieleweke

Chadema wameingia chaka Interpol watakuja kuwakatama kina Lema, hizo gari za wizi huo mtandao wa wizi wa magari wa Dr Mponjoli Malakasuka, saizi yupo jela Uingereza kwa wizi wa magari, gari nyingi sana kutoka Uingereza zilikamatwa kwa wizi zilitwa na Mponjoli.

Ngoja ziingie Dar es Salaam tuwasiliane na Interpol.
 
Kikwete anaomba na kusema kapata hasemi sijui anampa ritz

ni aibu kwenda kuomba vyadarua vya billion mbili kwa kutumia billioni tatu huku ukitetea safari za rais kuwa zina tija .leo mradi wa vyandarua umefia wapi?ni taifa gani linaenda kutafuta misaada kwa ghrama kubwa, na kuacha jamii ya wanyoge inateseka.na hii misaada iko wapi?
 
Nathibitisha hili;
Ni nissan navara adventura double cab nne ambazo zimetolewa na Chadema tawi la london.
zitaondoka na meli ya mwisho wa mwezi kwenda kuanza kazi bongo. Wakati wengine wanatembea na mikasi mfukoni tayari kwa kukata utepe, na wengaine kutembea na masanduku yao tayari kwa safari sisi tunafanya kweli hadi vijijini.
M4C mpaka kieleweke

haswa tena waliokuwa wanabeza eti lema apata aibu uk aambulia sare ya ccm. lol aibu yao
 
Omba omba ni omba omba tu huwezi kuharalisha uomba omba eti huyu kaomba kwa wazungu na huyu kaomba kwa watanzania! wote ni omba omba!

Tumeshuhudia masharti ya kiajabu ajabu inayoambatana na misaada toka kwa wazungu, unafikiri watanzania watatuwekea masharti gani? Inaelekea una majibu hebu tueleze.Tabia ya kubeza hata kama jambo lina mantiki si nzuri
 
Omba omba ni omba omba tu huwezi kuharalisha uomba omba eti huyu kaomba kwa wazungu na huyu kaomba kwa watanzania! wote ni omba omba!

Ama kweli ukiwa nazo kichwani hata za kuzugia tu ina faida yake.Sasa wamegutega umejileta mwenyewe.Kwa maana hiyo Dhaifu ni omba omba?Mbona tukisema huwa mnang'aka sana, sasa leo ponjoli mwenyewe kwenye ulimbo.Lema hajaomba kapewa.Nyie mmeshakiri mpaka Mjengoni kwamba "kuhemea hamtaacha" na Rais wenu anapoenda kuomba misaada inawanufaisha wote-Wassira:Mjengoni, 2012
 
Mi nawapongeza CDM kwa kurudisha moyo wa kujitoa na kuchangi UKOMBOZI wa HAKI, ccm hawaaminiki wamewakatishatamaa watanzania kwa kula michango yote tena bila kunawa
 
kaka Nicholas ahsante sana! Nimeipenda taarifa yako! Kweli M4C si hatari kwa uhai wa ccm tu bali hata mzoga wake
 
njaa mbaya sana ccm hawakulipi vizuri?wizi wa kura 2015 tutakata mashingo ya wezi sasa kimbieni nchi au shut up kama noma na iwe noma wananchi wanasubiri starting point wamechoshwa na comedy za ccm
 
Back
Top Bottom