Lema kaonesha tofauti kubwa sana katika hili

Nimefatilia jana katika M4C Dar Lema akawa anasema alipokua London ameweza kufanikisha hupatikanaji wa gari 4. Sasa nikajiuliza kama Lema ameweza kwenda Londoni na amefanikiwa kuchangiwa gari 4 tena na watanzania wenzetu ina maana Lema ameonesha tofauti kubwa sana na wale wanao zunguka nje ya nchi kuombaomba na mwisho wa siku wanakua wametutia haibu bila maana wakati kwa Lema ameweza omba kwa watanzania wenzetu na si wazungu tafsiri ndogo nikua kama CDM ingekua madarakani leo hii tungeweza sema Lema amefanikiwa kupata nissan 4 toka kwa watanzania wenzetu ambazo zitatumika hosptal nk. Kumbe hata zile net tungeweza changiwa tu na watanzania waliopo marekani, uk na kwengineko bila wazungu.

BIG UP LEMA

Mkuu net hatukuhitaji kuchangiwa na mtu kwani net zote ni sawasawa na twiga wangapi, makampuni magapi ya madini haya lipi kodi na yakilipa yana lipa 3%.....
 
Omba omba ni omba omba tu huwezi kuharalisha uomba omba eti huyu kaomba kwa wazungu na huyu kaomba kwa watanzania! wote ni omba omba!
Mbona Obama na Mit Romney huko Marekani ni omba omba kulingana na kauli yako. This is community mobilization my friend
 
Hii presha ya m4c ni nouma maana watu wamehamasika hadi kuchangia yai!...
 
Acha kutoa mapovu kiasi hiki!
Changia mabadiliko ktk Nchi yako iliyoko mikononi mwa mafisadi!

Nimefatilia jana katika M4C Dar Lema akawa anasema alipokua London ameweza kufanikisha hupatikanaji wa gari 4. Sasa nikajiuliza kama Lema ameweza kwenda Londoni na amefanikiwa kuchangiwa gari 4 tena na watanzania wenzetu ina maana Lema ameonesha tofauti kubwa sana na wale wanao zunguka nje ya nchi kuombaomba na mwisho wa siku wanakua wametutia haibu bila maana wakati kwa Lema ameweza omba kwa watanzania wenzetu na si wazungu tafsiri ndogo nikua kama CDM ingekua madarakani leo hii tungeweza sema Lema amefanikiwa kupata nissan 4 toka kwa watanzania wenzetu ambazo zitatumika hosptal nk. Kumbe hata zile net tungeweza changiwa tu na watanzania waliopo marekani, uk na kwengineko bila wazungu.

BIG UP LEMA
 
Ndugu zangu tulioughaibuni sio kwamba tunashindwa kuchangia maendeleo ya nchi yetu, shida ni kwamba hata ukituma pesa zinaishia kwa mafisadi. angalia misaada yote tunatopewa na wenzetu kiasi kikubwa kinaishia wapi kama siyo kwa mafisadi.
 
Hivi mods hamuwezi kufanya hiyo LIKE mtu akaweza kulike zaidi ya mara moja!. Mana mi naona LIKE moja tu haitoshi!.
 
Mungu jaalia mafanikio yatafika tu! Kiukweli Lema kaonesha mfano wa hali ya juu! Shukran keep it up! Maendeleo yataletwa na wenye uzalendo wa kweli
 
Aiseeee baba yangu izo gari zikija mnijulishe nije dar es salaam tanzania nitazipiga furu teki
haki ya mama

ngoja nipige pafu mbege yangu
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom