Lema aushukia Mwenge

Lema, anaitaji ushauri nasaa kwenye hiki kipindi mara ya mwisho nimemuona kwenye TV kwenye mkutano wa Jangwani amabeba bakuli la michango anaonekana kabisa hayupo sawa sawa...toka kuvuliwa ubunge wake kila siku anakuja na single mpya, alisema ataandaa maandamano ya kuvamia magereza kuwatoa wafungwa, apo ndio nikajua Lema anaitaji kusaidiwa.
 
Back
Top Bottom