Lema Aunguruma Manzese,Dar

Lema Aunguruma Manzese,Dar

halafu wote wanaonekana watu wenye akili zao, nguvu kazi ya taifa!
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
hapana hajakusanya amegawa buku tano ndio mlivyozoea, hata Nyerere alikusanya sadaka wakati wa kudai uhuru
 
Hivi unapajua Manzese Bakharesa? Yaani apo ndio huwa kuna ubishi wa dini kila siku, kwa taarifa yako apo hata ugomvi wa Kuku watu wanajaa.

Kiwanja cha Mrema hicho kila akifanya mkutano watu wanajaa.

Mbaazi zikosa jua usingizia ........ connect the dot!
Magamba CD4 zimeisha fanyeni mpango
 
Hivi unapajua Manzese Bakharesa? Yaani apo ndio huwa kuna ubishi wa dini kila siku, kwa taarifa yako apo hata ugomvi wa Kuku watu wanajaa.

Kiwanja cha Mrema hicho kila akifanya mkutano watu wanajaa.

yawezekana kuna ulweli katika unachosema! Hapo wengi wapo wapo tu! na wengi hawana ajira! maana ukiwaangalia walivyosimama hawanipi picha nzuri kuwa wanaelewa au wana munkari wa kufanya mabadiliko wengine wameweka mikono nyuma! wakitapa elfu 5000 za ccm hao kwshney!
 
Alisema atawanyoosha CCM chini kwa chini kama fuko
 
Mbaazi zikosa jua usingizia ........ connect the dot!
Magamba CD4 zimeisha fanyeni mpango

Ebu waangalie vizuri hao watu wameweka mikono nyuma wanashangaa!
 
Ebu waangalie vizuri hao watu wameweka mikono nyuma wanashangaa!

Wale wanaohudhuriaga mikutano yenu wanawekaga mikono mbele au kwenye mifuko.But This is not an issue!
 
Lema ni jembe, pale manzese Bakheresa si ngome ya Uamsho a.k.a CUF na nyomi imejaa na wamemsikiliza kwa umakini? mpaka 2015 sio CCM au CUF itakayo salia
 
Kweli Lema Jembe yaan siyo mbunge wa DSM lakini anaweza kuvuta watu wengi hivi?Magamba Kaeni chini mjiulize kwanini?

Tunaomba ratiba za mikutano ya M4C maana tunataka kuhudhuria kuwasikiliza wakati wa ziara hii muhimu ya viongozi. Mwenye kuwa nayo tafadhali sana.
 
Tunaomba ratiba za mikutano ya M4C maana tunataka kuhudhuria kuwasikiliza wakati wa ziara hii muhimu ya viongozi. Mwenye kuwa nayo tafadhali sana.

Makene and Mh.Mnyika plz do the needful
 
Back
Top Bottom