Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

vipi yule kiongozi mkuu wa masalia a.k.a nyepesi kaonyesha ushirikiano leo?
 
Yes Kamanda Yericko Nyerere! Naamini Mungu yupo upande wetu na hakika Haki ya mpiganaji wetu Lema itakwenda kuonekana...

GODBLESS GODLESS LEMA.
LONG LIVE TANZANIA
VIVA CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Updates kila baada ya dk 5 nadhani itakuwa poa.
 
Mkuu Yericko Nyerere sina wasi wasi na wewe coz najihisi tayari nipo mahakamani big up kamanda...
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha watulie kwanza sio tumalize hili la Lema wakati huo huo nao wakusanye ushahidi mwengine huko wa kuvuana nguo
 
Wapenda mabadiliko hakuna haja ya kuwa na hofu,matoke yawe + au-yatazidi kuimarisha Cdm.tusubiri tuone mahakama inavyotenda haki..
 
Tupeni Updates jaman tumekaa huku tunawategemea nyinyi mlioko huko Mahakamani
 
Naomba ustaarabu utawale hapa ili kuepusha hii thread kuwa na page nyingi, tuwaache walio Mahakamani watupe updates.
 
Tukubali llte litakaloamuliwa si mkipoteza mahakama haiko huru, mkishinda ndio iko huru
 
kaka hakikisha mnatupa updates za uhakika kuhusu kinachoendelea kwa sababu zina mashaka kwa kuwa ni wewe basi mambo yatakuwa mazuri kaka wapi mtu ben wa saanane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…