Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Makamanda tuseme asante sana kwa mungu kujibu maombi yetu......hongera mh.lema mungu awe nawe daima.
 
Judges wameona aibu kujialibia CV zao
 
matokeo ya leo itakuwa ni majibu kwa aki Juliana (zamani jina hilo ndo ulikuwa UKIMWI). Leta habari Yeriko tulete ukombozi ambao akina NAPE hawatki upatikane kwa kuwatumia akina Juliana na akina ZITO
 
Tumeshindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
wakuu sijaelewa ndio hukumu imekamilika? mbona naona conculsn tumeshindaaaaaaaaaaa
 
Mkuu hata kama hukusoma sheria kesi ya lema ilikuwa na magumashi kuanzia mwanzo mpaka siku ya hukumu ndiyo maana kila mwenye akili alijua Ikulu ilimhukumu lema....

Mimi naelewa,nilitarajia wataleta magumashi mengi kama kawaida yao,ila la hasha mahakama kuu imejisafisha.
 
Sasa kazi iliyobaki Lema ni kuwatumikia wana Arusha kwa moyo wako wote kwasas Arusha kuna kero kubwa ya machinga kunyanyaswa na mgambo hii yote ni kutokana kuwa na mapenzi na wewe...sasa naomba uanze kutatua kero hii..uhakikishe wana pata pa kufanyia biasgara na siyo NMC pale hapatoshi wana teseka mama zetu...
 
Hopefully it's true, ...Hongera Mh. G. Lema, hongera CHADEMA.

Baada ya muda mrefu wa vuta-nikuvute, pumzika na kisha utumikie wale waliokuchagua.
 
Hii ni zawadi ya Christmas kwa CDm na wanamapinduzi wote! Hongera Mh. MP. Kamanda Lema!
 
Nimatokeo mazuri kwa CHADEMA na PIGO KUBWA KWA CCM!LEMA ALTA CONTINUA People Power!
 
Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.

Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.

Hongera Chadema hongera Lema.
 
Jamani haya mnayoripoti kuwa Lema ameshinda ni kweli? Tujuzeni wajameni
 
Likizo imeisha, kama namuona Lukuvi anavyosoma kanuni na miongozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…