Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 119
Na leo yupo mahakamani kwa kazi maalum nyie mkuambatieni tu.Masalia mnafahamika tu...naona kijana B.sa nane kawavuruga sana.
Tumeshindaaaaaaa
Hivi kukaa kimya huku ndiyo tutajuaje maendeleo?
nmeambiwa kwamba ni vigumu kwa lema kushinda hii rufaa kwa sabab anaonekans ni mtu hatari kwa usalama... mliopo mahakamani mtathibitisha majaji wamepewa vitisho. subirin mwisho wa rufaa mtaniambia.
Tumeshindaaaaaaa
Kama umeridhika na hali za usalama hapo mahakamani nime kucopy,Over!! vigezo na masharti vitazingatiwa.
Tumeshindaaaaaaa