Umeingia choo cha kike; CDM siri zao anazo Mheshimiwa Lusinde!!! Ama wewe ni mfuasi wa Waziri Mkuu wa Uingereza??
Tunashuhudia upotevu wa MABILIONI ya pesa za wananchi kwa kumtengenezea LEMA ajira!
Hii ni hatari sana kwa taifa.
Kama katemwa ubunge apumzike mbona wengine hatuna job na tunasurvive?
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.

Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gan
i kwenye siasa za Tanzania?
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Ninyi vilaza wa PPemba tulieni mnyolewe!!a. Lema ni mchagga na Mbowe ni mchaga lazima walinde ajira ya mwenzao
b. Kila la heri Lema kwa kupata perdiems na kusafisha macho kusafiri katika anga..
c. Je ni kikao rasmi cha chama kimeamua hayo? if that is the case, then chama kiko kwenye serious problem..
a. Lema ni mchagga na Mbowe ni mchaga lazima walinde ajira ya mwenzao
b. Kila la heri Lema kwa kupata perdiems na kusafisha macho kusafiri katika anga..
c. Je ni kikao rasmi cha chama kimeamua hayo? if that is the case, then chama kiko kwenye serious problem..
...hawachelewi kuidungua.
Rejao magamba usie kata tamaa kukitetea chama kinachojifia kwa ufisadi!Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
WEWE WASEMA, LEMA ALIENDA IRINGA WAKATI FLAN AKATAKA ATEMBEE KWA MGUU KUJUA MJI 'YAKATOKEA MAANDAMANO' KWA SABABU WANANCHI WALIKUWA WAKIMFUATA IKABIDI POLISI WAMWOMBE APANDE GARI! Peopelessssssssssss. Mpaka kieleweke
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
hongera kwa kunufaika na mfumo nyonyaji,huyo unae muona hafai leo ndo atakata mrija unaotumia kunyonyea leo.
na wewe una influence gani katika siasa za Tz? Hongera kwa kunufaika na mfumo huu ila najua ipo siku ya Gadaffi na wanawe yatakukuta.
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Arumeru tumetumia chopa hebu pita sasa hivi na nguo za kijani uone zomezome....Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.