Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,340
- 283,361
Lema asilete siasa kwenye maisha ya watu. Au anafurahi watu wanapopatwa na ulemavu na vifo kutokana na uendeshaji wa hovyo wa waendesha bodaboda?
Mimi ni Mzaliwa wa Arusha na ninaishi Arusha, huyo LEMA unayempigia debe huku Arusha hakuna anayetaka kumuona.
Ungemalizia kabisa ni kichwa cha panzi
tangu akatae mimba yako unakisilani nae kweli..
mgekuwa na huruma ungemwambia mmeo lowasa awahonge gari badala ya bodaboda..
LEMA ndio nani hata amuokoe mkuu wa wilaya?
amemuokoa kwa lipi? Huo ni uhuni wake na umeshajulikana kwanza yeye ndio huwa muhusika wa vurugu zinazotokea hapo arusha.
Ungemalizia kabisa ni kichwa cha panzi
Tehetehetehe, eti Rais wa Arusha! Labda rais wa Mini Kabaaaaang!
LEMA ndio nani hata amuokoe mkuu wa wilaya?