MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Afande Sele naye amejifungua mtoto na amempa jina AsantesanaAliyekuwa mbunge Arusha mjini Godbles Lema ameushangaza umma hapo jana alipowaambia wananchi kuwa mkewe amejifungua mtoto wa kiume na amempa jina m4c
si kuna mbunge wa CHADEMA nae alimwita mwanae Chachage in
honour of the late professor, ni nzuri
"Emfosii"?..."Emfosii Godbless Lema"......mmmmmh....may be!
King'asti! Nakubaliana nawe, nadhani jina ambalo lingemfaa ni Che Guevara. Che Guevara alikuwa mwanamapinduzi wa kimataifa kuliko kuwa na dhana ndogo ya chama cha siasa.
Bazazi!
..., Uhuru Kenyatta, Mapinduzi Msalila etc! Hiyo ni sawa. Ndio nikasema "may be"!Mbona ya kawaida sana? Mfano: Vita Kawawa, Madaraka Nyerere na wengineo, mnajua historia ya majina yao?
Join Date : 11th September 2012-Bado mgeni sana jamvini jifunze kuandika kitu cha maana, ukishatoka kwenye gongo zako lala kwanza uamke na akili nzuri ndio uingie jamvini hiki sio kijiwe cha walevi ni mahali pa kuummiza bongo kujadili mada na kupeana taarifa motomoto!Ana haki kumwita hivyo, kwani alivyopoteza ubunge aliendesha maisha yake kwa kupitia pesa za m4c mpaka alipoenguliwa kiaina baada ya kudokoa na kutokabidhi pesa alizopewa uk & usa. Sasa haruhusiwi kwenye m4c karudi arusha
Ana haki kumwita hivyo, kwani alivyopoteza ubunge aliendesha maisha yake kwa kupitia pesa za m4c mpaka alipoenguliwa kiaina baada ya kudokoa na kutokabidhi pesa alizopewa uk & usa. Sasa haruhusiwi kwenye m4c karudi arusha
Mbona ya kawaida sana? Mfano: Vita Kawawa, Madaraka Nyerere na wengineo, mnajua historia ya majina yao?
Lema ni mwanamapinduzi wa kweli, chadema iko kwenye damu yake na kizazi chake.Aliyekuwa mbunge Arusha mjini Godbles Lema ameushangaza umma hapo jana alipowaambia wananchi kuwa mkewe amejifungua mtoto wa kiume na amempa jina m4c