Lema amethibitisha madai yote ya wanaharakati

Lema amethibitisha madai yote ya wanaharakati

JF Member

Platinum Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,424
Reaction score
11,960
Chama kimeweka masharti Ili kiingie kwenye maridhiano.

Yeye anaendesha mambo yake nje ya mfumo wa chama.

Kiufupi Lema is more than CDM. Na kupuuzwa kwake Kuna mkela sana.

Uzuri wa siasa, hakuna rafiki Wala adui wa kudumu.

Kama walivyokuwa akina Mbowe, Slaa na Yeye, zito n.k.
 
Lema ni bendera fuata upepo, anaangalia maslahi yake sio misimamo na itikadi za chama chake

CHADEMA wamfukuze haraka uanachama, huyu ni msaliti na sasa ni chawa rasmi wa CCM kulingana na maelezo yake ya jana na mwenendo wake
 
Back
Top Bottom