hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 1,019
- 2,219
Kikundi cha wahuni kilichogoma kushiriki chaguzi za wizi.Kikundi cha wahuni
hakuna mpasuko, ni wivu wa kawaida tu (wa maendeleo) Lema ameyashangaa maendeleo ya Heche. hakutarajia ! hata watz wengi hawakutarajia kama John Heche angepeperusha bendera ya chadema kwa viwango hivyo wakati wa mazingira magumu kiasi hiki.Ya pole ya msiba mi wala sioni kama ni big deal, ila swala la kumuingiza makamu kwenye majibu yake ya passport nimeona alikurupuka. Kuna namna anataka watu wamuone makamu kwa jinsi ya tofauti, na sijui kama alipata consent yake kabla ya kutoka hiyo taarifa. Inaonekana Kuna mpasuko huko chadema, tuwaombee
We jamaa,ushauli,subilia ndio nini?gabeji.Ww mzee wa ccm, upo BAdo hajakupa jimbo ? au ndo na ww unasubilia wakupolepole
Credit kumpa pole muuwaji? You might be a joker, labda credit Kwa wafiraji na watekaji, by the way mpaka sasa lema ameanza kupuuzwa hata siku akitoka wananchi watanuona alikuwa msaliti toka zamani.Kabisa mkuu, na hii ingempa credit kubwa sana kisiasa.
Wahuni wako kizimkazi wanaomboleza kifo Cha nguruwe ndio maana hata nyie machoko mmemtelekeza msiba wa nguruweKikundi cha wahuni
Machoko mmepambanishwa na hawala wa Samia muuwaji ambaye anapokea mahawala zake kina chivayo kizmkazi.Wameshawapambanisha Lema na Heche
Lissu hawezi kukutana na genge la wafiraji na watekaji.Ishu yenye utata zaidi ni kusema kuwa Heche alirudishiwa paspoti yake baada ya kuwasiliana na Mkurugenzi wa Usalama. Lengo la Lema ni nini hapo??
As a matter of fact Idara inamawasiliano active na viongozi wote wa juu wa vyama vya siasa.
Siku hawa wanaharakati wakijua Lissu na Samia wameshakutana mara kadhaa Ikulu na pale Ukonga si watarukwa akili kabisa??
Ccm inaendeshwa na wafirajiNaona Chadema Inaendeshwa kutoka Tweeter.
Haha
Ushirika wa shetani ufika mwisho
Credit gani wakati Lemma anajua kabisa Samia kaua vijana wengi wasio na hatia tena anafurahia na kutamba kuwa amewanyoosha? Roho ya ''mume'' wa Samia ina thamani kuliko vijana wa kitanzania waliodhulumiwa uhai wao kwa maelfu kwa woga wa Samia? Huyu mama ni muuaji na anatakiwa atengwe na kila mtu. Kumpa pole ni sawa na kukubaliana na mauaji aliyofanya na bado anaendelea kutamba kila siku. Pamoja na fedha nyingi anazotumia Samia kuhonga ili akubalike na na usanii wa kutumia kifo cha ''mume'' wake kama njia ya kupendwa lakini vifo vya vijana wa kitanzania vitalipiza kisasi.Kabisa mkuu, na hii ingempa credit kubwa sana kisiasa.
Ya pole ya msiba mi wala sioni kama ni big deal, ila swala la kumuingiza makamu kwenye majibu yake ya passport nimeona alikurupuka. Kuna namna anataka watu wamuone makamu kwa jinsi ya tofauti, na sijui kama alipata consent yake kabla ya kutoka hiyo taarifa. Inaonekana Kuna mpasuko huko chadema, tuwaombee
Huyu jamaa na Mbowe wanawaangusha sana KaskaziniHongereni na kz ndugu zangu!
Lema kumpa pole Rais Samia, ni jambo jema na la kibinadamu kabisa. Kosa lake Lema ni kutumia na kujificha kwenye nafasi ya mwenyekiti Tundu Lisu .
Protokali yeye hana mamlaka ya kumsemea mwenyekiti Tundu Lisu. Kusema eti Lisu alisema mahakamani wapeleke pole KWA samia. Frankly speaking alikuwa anajokes, ukimwangalia body lg yake alipokuwa anasema ilikuwa seriousless. Angekuwa kweli yupo serious angemtuma makamu wake heche officially.
Ushauli KWA Lema , next time kuwa jasiri kusema kile nafsi Yako inakuambia, no matter what people will say ? Ww ni mtumishi wa Mungu mkubwa sana out of politics. Ulikosa ujasiri wa kumpa pole Rais wewe kama wewe, ukaingiwa na (uoga) hofu ya wananchi.
Next time bro follow your "soul" mm sikulaumu KWA kutoa pole , ila kwa kukaa nyuma ya mwenyekiti. Now you are peaceless.
Mungu ibariki Tanzania by mwijilist wenu Gabeji.
"Ushauli KWA Lema , next time kuwa jasiri kusema kile nafsi Yako inakuambia"! Kwani mama atafiwa tena na mumewe kabla ya kuondoka madarakani!Hongereni na kz ndugu zangu!
Lema kumpa pole Rais Samia, ni jambo jema na la kibinadamu kabisa. Kosa lake Lema ni kutumia na kujificha kwenye nafasi ya mwenyekiti Tundu Lisu .
Protokali yeye hana mamlaka ya kumsemea mwenyekiti Tundu Lisu. Kusema eti Lisu alisema mahakamani wapeleke pole KWA samia. Frankly speaking alikuwa anajokes, ukimwangalia body lg yake alipokuwa anasema ilikuwa seriousless. Angekuwa kweli yupo serious angemtuma makamu wake heche officially.
Ushauli KWA Lema , next time kuwa jasiri kusema kile nafsi Yako inakuambia, no matter what people will say ? Ww ni mtumishi wa Mungu mkubwa sana out of politics. Ulikosa ujasiri wa kumpa pole Rais wewe kama wewe, ukaingiwa na (uoga) hofu ya wananchi.
Next time bro follow your "soul" mm sikulaumu KWA kutoa pole , ila kwa kukaa nyuma ya mwenyekiti. Now you are peaceless.
Mungu ibariki Tanzania by mwijilist wenu Gabeji.
Lema The real gangster of CHADEMA