Lema akichangia hotuba ya wizara ya nishati na madini, "Manji anaila TANESCO"

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,282
38,359
Akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati Na Madini leo Bungeni Mh.Lema ameishangaa kampuni ya TANESCO kumpa tenda Manji kuagiza Transformer toka India wakati Malawi Na Msumbiji wananunua Transform toka Tanzania.

"Mheshimiwa Mwenyekiti inashangaza kuona Malawi Na Msumbiji wakinunua Transformer toka Tanzania, lakini TANESCO wamekuwa wakimtumia Manji Na kumpa Tenda ya kuagiza Transformer toka India kwa bei ya Mara mbili hadi Tatu zaidi ya bei iliyopo nchini."
nememunukuu Leama

NB: Hii nchi ngoja Magufuli aindeshe kichizi chizi kwanza hadi tukae sawa, maana kwa tulikofikia inahitaji akili ya kiuendawazimu kuirudisha.

Asante Lema kwa kumsaidia Rais kutumbua majipu.!

 
Kweli yule mana aliekuwa anasimamia flow meter arudishwe tu kama muhongo alivyorudisha japo alivurunda huko mwanzo.
 
lema sijawahi kumuona akiongea point...manji ni mtanzania mzalendo na mlipa kodi mzuri...huyu lema ni wivu wa kike unamsumbua
Huwa tunawapinga wanaopinga kila kitu bila sababu. Hivyo hivyo tuwapinge wanaotetea kila kitu bila sababu kama wewe.
Hoja hapo ni gharama za transformers kuwa ni kubwa. Kama una maelezo ya kupinga ndio utupie hapa hoja maana wengine tuko gizani kwenye hilo.
 
Mbunge wa CCM akipewa dakika 10, Tatu anamsifia Magufuli, mbili anamsifia waziri husika, Tatu anapiga vijembe Upinzani, moja anamshukuru Mwenyekiti kwa kumpa nafasi kuchangia, sekunde 30 analalamika matatizo jimboni kwake, sekunde 30 za mwisho anaunga mkono bajeti.
Kwa jinsi hii ndiyo maana hawakutaka bunge lionyeshwe live
 
Mbona kila mara naona michango ya wabunge wa upinzani tu kwenye mitandao ? Wa CCM zaidi ya Agnes Marwa na mtoto wa Kombani sijaona, ina maana michango yao haina uzito wa hoja au? Maana sielewi ni Lema, Msigwa, Mbatia, Mdee. Hivi wale wabunge 250 kijani na njano vipi?

Wameenda kulala mkuu na kujaza vyoo ndo maana hawataki kitu live
 
Mkuu upo sawa kweli upstairs kweli? Yani unatengeneza pen Tz na unauza nje ya nchi, halafu mahitaji hayohayo unaagiza nchi nyingine kwa bei ambayo ni mara mbili. Mkuu ficha hii aibu bora mambo mengine muwe mnapiga kimya tuu.

Mkuu ogopa sana mtu aliekaririshwa, hana jinsi zaidi ya kuongea alichoambiwa Na kuelekezwa.!
 
Mbona kila mara naona michango ya wabunge wa upinzani tu kwenye mitandao ? Wa CCM zaidi ya Agnes Marwa na mtoto wa Kombani sijaona, ina maana michango yao haina uzito wa hoja au? Maana sielewi ni Lema, Msigwa, Mbatia, Mdee. Hivi wale wabunge 250 kijani na njano vipi?
Tatizo ni uelewa wa waandishi...!
 
Back
Top Bottom