Lema afichua siri nzito Gereza la Kisongo

Lema afichua siri nzito Gereza la Kisongo

Imeeleweka kwani lema alipokuwa akitamka alikuwa anasema natamka kwa m kubwa..maandishi ni mbwembwe za kidunia tu..ukitamka au ukiandika Mungu au mungu umeeleweka maana mungu ni wa waliosoma na ambao hawajasoma..

Kama umekwenda shule kwa angalau kiwango cha kidato cha 4 ungeelewa tofauti ya lugha ya maandishi na lugha ya mazungumzo...!! Jibu lako hili linakupambanua kuwa shule yako ni ya kiwango cha chini ya Darasa la 4...!!

Tafakari...!!
 
Wewe ndo uache upuuzi,mtu kama hajahukumiwa na mahakama kufungwa huyo ni mahabusu.
Mfano ni wale walokaa mahabusu zaid ya miaka minne bila kufunguliwa mashitaka ndo alikuwa nyapara wa hao mahabusu yaani kiongozi wao.
UNATULETEA MAMBO YA KIBASHITE HAPA.
Hujui unachoongea,,,,nakuacha hvyo hvyo
 
Huyu ndie lema yule yule mwanzo habadiliki hata kwa ushilikina anazidi kutema cheche
 
Hayupo okay upstairs hta kidgo..
. Amechunguza akiwa ndan na kujua sio magaidi..
Km namuona wema anavyomsapot kwa tabasam mubashara..
[HASHTAG]#teamK2chaAshura[/HASHTAG]
 
Ukakae gerezani utoke shavu dodo uso unang'aa akwende zake kawekwa mahabusu hasidanganye watu...lema n mnafk sana...sasa hayo mambo mazto n yapi?kunyimwa dhamana n kawaida hapa tz...mambo ya magaidi n kawaida kuwakandamiza waislam....watoto.miaka 14 kufungwa sio ajabu kuckia em atuambie mapya
 
ema
....
.....Kamanda mpambanaji
Huyu ndie lema yule yule mwanzo habadiliki hata kwa ushilikina anazidi kutema cheche

Godbless Lema Godbless you so much. Frankly speaking you're the champion of all times!Wewe ni aina ya Watu wanaotakiwa kuwa viongozi wa Watu na ci watawala kama maCCM!
Wewe siyo aina ya kina Daudi Bashite a.k.a Paulo Makonda, Mrisho Gambo au Mnyeti! You're different!

Magufuli and his company wanafikiri wakikuweka mahabusu au gerezani utakuwa mpole, wamechemka!
 
ema
....
.....Kamanda mpambanaji
Huyu ndie lema yule yule mwanzo habadiliki hata kwa ushilikina anazidi kutema cheche

Godbless Lema Godbless you so much. Frankly speaking you're the champion of all times!Wewe ni aina ya Watu wanaotakiwa kuwa viongozi wa Watu na ci watawala kama maCCM!
Wewe siyo aina ya kina Daudi Bashite a.k.a Paulo Makonda, Mrisho Gambo au Mnyeti! You're different!

Magufuli and his company wanafikiri wakikuweka mahabusu au gerezani utakuwa mpole, wamechemsha!
 
Back
Top Bottom