Lema afichua siri nzito Gereza la Kisongo

Huyo mungu tunamchoma kila siku kwa vigelegele. mungu gani anafungwa na kamba kiunoni?
 
Hakuna laana kubwa kama kumchanganya mungu na siasa..bible ilishatoa muongozo kuwa ya kaisary mpe kaisary na ya Mungu mpe Mungu..huyu lema hakustahili hata kukaa jukwaa moja na lowasa maana ilifikia hatua anamuita jizi na mnafiki..leo yamemkuta yeye anabaki kusema mungu mungu..anadhani kina lowasa walikuwa hawaombi Mungu??? Au ye Mungu wake ni bora kuliko wa wengine??? Au ye ni msafi sana mbele ya USO wa Mungu?? Aache upuuzi wa kumtaja Mungu kuchafua wengine..
Pia anaposema magaidi kukaa muda mrefu inaweka madaraja
ya kidini..kwani nani kamuambia magaidi wanawakilisha dini??na ni dini gani?? Mbona huyo mungu wake hajamsaidia kumbadilisha kama alivyosema??wakati wa mlipuko mwaka 2012 kanisani arusha ye si alihusisha tukio lile na ugaidi na akaishutumu sana serikali ya jk kabla askofu pengo hajakanusha..leo anasema nini?? Huyu achilia mungu hastahili hata kutaja manabii kwenye hotuba zake..
Mchangiaji umeongea pumba, hayo mawazo yako yapeleke lumumba, huenda ukateuliwa kuwa m'bunge viti maalum kama yule mama.
Nakumbuka wale vijana wa arusha wa boda boda walikamatwa kijiweni kwao wakaambiwa wamempakia gaidi kulipua lile kanisa Olasiti...........hadi leo bado najua wako ndani wanateseka na kusota bila kesi
 
Imeeleweka kwani lema alipokuwa akitamka alikuwa anasema natamka kwa m kubwa..maandishi ni mbwembwe za kidunia tu..ukitamka au ukiandika Mungu au mungu umeeleweka maana mungu ni wa waliosoma na ambao hawajasoma..
Wewe uliyesoma ukiandika lazima uonyeshe una maanisha nini.
Anyway, tuendelee!
 
Hakuna laana kubwa kama kumchanganya mungu na siasa..bible ilishatoa muongozo kuwa ya kaisary mpe kaisary na ya Mungu mpe Mungu..huyu lema hakustahili hata kukaa jukwaa moja na lowasa maana ilifikia hatua anamuita jizi na mnafiki..leo yamemkuta yeye anabaki kusema mungu mungu..anadhani kina lowasa walikuwa hawaombi Mungu??? Au ye Mungu wake ni bora kuliko wa wengine??? Au ye ni msafi sana mbele ya USO wa Mungu?? Aache upuuzi wa kumtaja Mungu kuchafua wengine..
Pia anaposema magaidi kukaa muda mrefu inaweka madaraja
ya kidini..kwani nani kamuambia magaidi wanawakilisha dini??na ni dini gani?? Mbona huyo mungu wake hajamsaidia kumbadilisha kama alivyosema??wakati wa mlipuko mwaka 2012 kanisani arusha ye si alihusisha tukio lile na ugaidi na akaishutumu sana serikali ya jk kabla askofu pengo hajakanusha..leo anasema nini?? Huyu achilia mungu hastahili hata kutaja manabii kwenye hotuba zake..
Utakuwa unamajini maana kila binaadam anaruhusa kumhimidi Bwana aliye juu. Yule anayesemaga msemakweli mpenzi wa Mungu kilasiku mbona humkanyi...be genuine usiendekeze roho mbaya,chuki na ubinafsi.Hii nchi hatuendelei kwasababu ya vita vita ya roho,watu mnaendekeza roho mbaya,wivu,chuki,ujuaji,uzandiki kisa vyama!! Mimi sijawahi tamani mtu asiye na hatia afungwe hata masaa Bali mpaka ithibitike anahatia...yanini kuoneana kisa unadola? Ivi nani mwenyehaki saana kiasi cha kujiamulia kumnyima mwenziye uhuru bila kufata sheria ipasavyo?? Lets spread love and stop hatrate
 
Hakuna laana kubwa kama kumchanganya mungu na siasa..bible ilishatoa muongozo kuwa ya kaisary mpe kaisary na ya Mungu mpe Mungu..huyu lema hakustahili hata kukaa jukwaa moja na lowasa maana ilifikia hatua anamuita jizi na mnafiki..leo yamemkuta yeye anabaki kusema mungu mungu..anadhani kina lowasa walikuwa hawaombi Mungu??? Au ye Mungu wake ni bora kuliko wa wengine??? Au ye ni msafi sana mbele ya USO wa Mungu?? Aache upuuzi wa kumtaja Mungu kuchafua wengine..
Pia anaposema magaidi kukaa muda mrefu inaweka madaraja
ya kidini..kwani nani kamuambia magaidi wanawakilisha dini??na ni dini gani?? Mbona huyo mungu wake hajamsaidia kumbadilisha kama alivyosema??wakati wa mlipuko mwaka 2012 kanisani arusha ye si alihusisha tukio lile na ugaidi na akaishutumu sana serikali ya jk kabla askofu pengo hajakanusha..leo anasema nini?? Huyu achilia mungu hastahili hata kutaja manabii kwenye hotuba zake..
Wewe Kiumbe ni zaifu sanaa, Ungekuwa Unajua biblia ni nn Na mungu ni nini Usinge Andika Hyo mawazo yako Madogo. kumbuka Hata Shetani anamwomba Mungu, Ukiomba kitu chochote Ili Ufanikiwe Bac Unamwomba Mungu, hata Bwana Yule anasema mungu Anamwongoza Sijaona Mantiki Yako Hapo zaidi Ya Mawazo Finyu sana. Ukiwa Una hoja Ndio Uandike Hoja yenye Mashiko.
 
mlikaa bungeni mkatunga sheria kwa kujua haitawagusa, sasa mnaenda kuirekebisha,wananchi tuna kazi kubwa tuwaangalie vizur wanasiasa!
 
Mungu wa ajabu sana, hata Yusuph alipowaambia ndugu zake kua ameota kua Ndg zake wakimuabudu na kumsujudia jamaa walijenga chuki sana kwenye nyoyo zao, ukijumlisha na jinsi Mzee wao alivyokua anampenda ndio kabisaa.

Mwisho wa siku wakaamua kumuuza kabisa ili wale pesa na kumdanganya Mzee wao kua Yusuph katangulia mbele za haki baada ya kuraruliwa na mnyama mkali, what happened then? Sote tunajua.

Lakini mwisho wa siku unakuja kugundua kua ulikua mpango wa Mungu ili kuja kuendeleza taifa lake teule. Ndio Sababu tunasema(ga) MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO kwakua hujui kwanini unapitia unayopitia.

Go Lema, najua ukostrong kuliko mwanzo, umeivishwa vizuri kwenye tanuru sasa wewe ni dhahabu inayong'aa kwaajili ya Watanzania wote bila kujali dini wala kabila

[HASHTAG]#Tanzanianiyetusote[/HASHTAG]
 
Naona lema network imekaa sawa sasa, sijaona akimtaja vibaya magu hata kwa neno moja!
ama kweli jela ni noma
 
Hongera LEMA! Karibu uraiani tusaidiane kumtaka Daudi Bashite aweke vyeti vyake mezani!
 
mimi nikajua kuwa lema alikuwa ktk vyumba vya v. i. p, kumbe alichanganyikana na akina kabwela hongera zako kamanda lema
 
Kama hakuwa muoga angesema ukweli kuwa anatamani raisi afe kabla ya 2020 badala ya kujificha kwenye "maono" akidhani atasalimika...
 
Imeeleweka kwani lema alipokuwa akitamka alikuwa anasema natamka kwa m kubwa..maandishi ni mbwembwe za kidunia tu..ukitamka au ukiandika Mungu au mungu umeeleweka maana mungu ni wa waliosoma na ambao hawajasoma..
The difference is yawning.
 
Pole mh Lema.Namshauri asichanganye dini na ugaidi.Pia nimeshtuka kuwa alipoangalia tu akaona si magaidi
 
Hivi tunaweza kuwa tu na makamu wa rais bila rais au naibu spika bila spika? Sasa kwanini iwe hivi kwenye muhimili mmoja
 
Upuuzi ni kuamini kua mahabusu anamlinda mfungwa na kuamini upuuzi zaid wa mahabusu kua nyapara ha ha ha duh kwel kua uyaone....
Wewe ndo uache upuuzi,mtu kama hajahukumiwa na mahakama kufungwa huyo ni mahabusu.
Mfano ni wale walokaa mahabusu zaid ya miaka minne bila kufunguliwa mashitaka ndo alikuwa nyapara wa hao mahabusu yaani kiongozi wao.
UNATULETEA MAMBO YA KIBASHITE HAPA.
 
Back
Top Bottom