Mtoa mada kuna nyimbo nyingi tuu hazina maana yoyote kama unataka kujua inamaana gani ungeanza na hizo nyimbo za waimbaji wengine ila wewe nimeona umetaka maana kwa kuwa ni Zitto msiwe na sera za kijinga kama hizi katika nchi ambayo inakabiliwa na mambo mengi ya msingi kuweza kujadiliwa.