Leka Dutigite:Wazawa Wa kigoma tufamiane.

Ili iweje au umetumwa na mfalme. Imebidi muje na style mpya. Mello alishakataa mambo ya kutambuana na mpaka rumande akalala wewe unataka nn tena.
Ckuweka uzi lengo kutambuana kwa namna ambayo inaweza kumshikisha mtu.Mfano:mimi ni mzawa Wa kgm lkn mpka sasa siishi kigoma .
 
Ungesema km ni mzawa wa huko inatosha!Km utapenda kuzungumza maeneo ulipozaliwa haina taabu.Ndio maana ht mm cjataja majina yangu wala vngne km vile nlipo xx n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…