silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,210
- 1,676
Aisee huwezi amini. Baada ya kuipa kipigo cha mbwa mwizi kwa Liverfools juzi, leo tena wametoa kipigo chengine. cha Ajabu vipigo hivi vimekuja baada tu ya Ranieri kutimuliwa. ina Maana wachezaji walikua wanafanya kusudi. Mungu anawaona Leicester city