Leicester city wamelogwa na Nani?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Ni dk ya 74 uefa champions league,leicester wapo nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya cevilla,nakumbuka week end iliyopita walifungwa na ki timu kidogo Millwall ktk Fa cup,tatizo nini?mabingwa hawa wanapigwa kila watiapo mguu kiwanjani?wacha tuone game itaishaje.
.bado 15 mins

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hawajashinda ata mechi moja tangia tuuanze huu mwaka, nadhan leo wameamua na kuscore.
 
walibahatisha EPL. Aibu kweli yani timu inachukua ubingwa halaf msimu unaofuata inaelekea kushuka daraja
 
Jiko kubwa la chini, alikuwa anazungusha Kante! Tangia aondoke Leicester City hamna kitu!

Na kwa pale England sijui kuna namba sita gani mzuri kumpita yeye kwa sasa!

Kuna kipindi pia Real Madrid nao walimuuza Makelele, walikoma...walikuwa nyanya balaa!
 
Mimi siicheki Leicester Bali namcheka vardy aliyekataa pesa huku umri meenda kante alisoma alama za nyakati akasepa
 
Ni dk ya 74 uefa champions league,leicester wapo nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya cevilla,nakumbuka week end iliyopita walifungwa na ki timu kidogo Millwall ktk Fa cup,tatizo nini?mabingwa hawa wanapigwa kila watiapo mguu kiwanjani?wacha tuone game itaishaje.
.bado 15 mins

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mchawi ni Ranieri na katimuliwa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom