Legal Officer- TUWASA

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
wakuu kuna nafasi ilitangazwa ya Legal officer na Mamlaka ya maji Tabora vipi mchakato wake uliishia wapi. Mwenye kujua naomba atujuze
 
matapeli sann hao sio mara ya kwanza kutangaza na hutaweza jua imeishia wapi wanatangazaga halafu kimya wanajua wenyewe inaonekana wanatangaza tu ushahidi tayari wana mtu wao
 
Back
Top Bottom