Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,164
Nieleze.kama huoni alivyofanya basi unamatatizo kumkichwa
Huzuni.Ni hii ya kuhamasisha ufisadi katika serikali yake[emoji116]
View attachment 2294442
Lini?Akiipa nchi KATIBA MPYA na bora ndio itakuwa legacy yake.
Lini?
Hiyo Katiba ni chakula?
Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
We hufanyi kazi yoyote zaidi ya kudanga,utaonaje alichokifanya Rais au serikali??! Sisi wafanyabiashara sasaivi hatusumbuliwi na TRA Wala kuchota pesa kwenye account zetu Kama kipindi Cha bwana yule, wafanyakazi wameboreshewa maslai yaoTangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?
Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?
Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.
Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.
Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.
Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.
Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.
Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.
Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.
Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.
Mimi sijaona.
Achana na huyo kahabakama huoni alivyofanya basi unamatatizo kumkichwa
hizi ndio akili za hovyo tunazozisema kwaiyo unataka alipoingia tu aanze mambo yake mapya hapohapo?
Rais anaendeleza miradi yote iliyokuwepo hakuna mradi uliosimama, ndege kaendelea kununua elimu bure kaongeza hadi shule za advance, mishahara kaongeza, ajira katoa zaidi ya 50K ndani ya mwaka mmoja
sasa unataka nini dogo?
Badala yake?Usifikirie kila kitu kwa mrengo wa chakula na njaa.
wafanyabiashara sasaivi hatusumbuliwi na TRA
Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
Rais anaendeleza miradi yote iliyokuwepo
Ni bingwa kwenye hili la chanjo kuliko hata kuhamasisha maji safi na salama.Kawa dalali wa chanjo za covid19