Lee Redmond: Mwanamke mwenye kucha ndefu...!!!

Sasa wakati wa kula na kukulwa inakuwaje kwa mwana mama huyu,.na majukumu ya kifamilia duuh sipati picha akiwa jikoni!!
 
Sasa wakati wa kula na kukulwa inakuwaje kwa mwana mama huyu,.na majukumu ya kifamilia duuh sipati picha akiwa jikoni!!

Hata mimi nimeshindwa kuelewa yaan ni kama shetani. Sasa jiulize msalani anaendaje?
 
Na akimaliza 'kukata gogo' inakuwaje?
 
Mbona amakaa mkao wa kishetani shetani ?.
 
HOw the ---- does she clean her downstairs??
 
Maswali yanaongozana tu,na sioni hata dalili ya kupata majibu!
Kama ndio urembo mimi unipite tu
 
Hivi anakulaje ehh?anajikuanje?anachambaje? it seems like those nails are standing on her way for everything!!!
 
Mbaya sana , kama jini linavyoelezewa, maana sijawahi kutana nalo

Ni uchafu sana sitaki hata kurudia kuangalia tena
 
Simba tunamalizia la mwisho la ushindi, yanga hawana uwezo wa kuifunga simba hata siku moja
 
siamini kama kweli mtu anakucha ndefu namna hii au nimazingaombwe aidha zimekuzwa na kompyuta ama nizakuvaa na kuvuliwa .kama nikweli basi nisaidieni kujua kama aki naukwa ni wafupi kweli au laa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…