Lecturer part 3

Keep it up buddy, mtu mzima hatishiwi nyau songa mbele mpaka kieleweke.
 
Ni vitisho tu cz nae amepata woga
Hongera,pole na endeleza mapambano
Mungu akutangulie
 
pole sana wewe ni binti jasiri
umesharipoti polisi kuhusu kutishiwa?
since ni criminal action kama bado riporti mara moja na hizo msg zihifadhi vema.
atakuwa na kesi 2
attempted rape na threat to life.
 

duh kwel ww miss strong, ila angalia utakapofikia hatua ya kuolewa usije ukauingiza ustrong wako kwenye ndoa yako, kule mafahal wawili hawadumu....kule panataka uvumilivu, kupuuzia v2 vidogo vidogo, kuepuka mambo ya haki sawa, kutumia muda mwingi kumhudumia mme n.k bt nimekupenda gafla.
 
Sinema nzuri sana, nani alikufundisha??? Mambo si rahisi hivi kama unavyoandika... hakuna lecturer ----- hivyoo hata siku moja...
 
....mwisho wa siku utavua tu... Hata kama c kwa huyu utamvulia mwingine. Utuletee part 4 ya kuvuliwa...
Wa kuaminiwa uwe wewe leo.. n mind u the depts must b havin ur info as per the harrassmnt u r posing on their fela.. im sor 4 u...
Sijashuhudia binti shujaa chuo bado...
 
Sinema nzuri sana, nani alikufundisha??? Mambo si rahisi hivi kama unavyoandika... hakuna lecturer ----- hivyoo hata siku moja...


...Shigongo anawaleta vijana wanaoomba kazi hapa kufanya practical...
Na hakika huyu kashachukua kazi....
 
Nop.....!But I do believe in Jesus


...i curiously await ur 2nd come back at MMU...after this saga..

I cant wait 2 c ur other side like.. ''im in love",''i need a man" ,"my pusi doesnt reach at peacks"....etc

Im watchng u girl... hahaha....or else u change ur ID
 

Acha kumpotosha. Hawezi kupata mwanaume asiyejiamini kama wewe. Tena kwa taarifa yako mume atakayempata ni bora maana hatoweza kupata mwanaume mbabaishaji. Only weak men seek to emphasize their abilities by subjugating their partners.
 
Thanx for being strong my DEAR! Lazima historia iandikwe kuwa alikutana na msichana ngangari na amemuhenyesha mbaya kabisa. endelea kutunza hizo msg na pia ficha simu yako cuz anaweza kuja mtu akaikwapua au kuzifuta hizo msg ukakosa evidence ya kuendeleza mapambano! I love to see girls being strong enough to crush those un cultured baboons who thinks women are something to be used and damped simply like that.........!
 
Mabinti Shujaa chuo wapo na tumewaona! HUkusikia ya UDOM? Bint shujaa mmoja aliombwa penzi akakubali ila cku ya kukutana akaenda na wapiga picha wakawekwa uvunguni lecturer amejileta akijua atakula mzigo akaishilia kupigwa picha yuko uchi, picha zimefika sehemu husika na kafukuzwa fasta! ukioona binti kavua chupi yake kisa marks jua huyo ni zombie hajui haki zake na ni mvivu wa kupambana! Tanzania bila malecturer wavua chupi inawezekana kabisa..............kiasi cha wadada kusema HAPANA! SITAKI!
 
Okey neggirl

Ni matumaini yangu kuwa bado uko safi kisaikojia. Usikubali suala hili liathiri maendeleo yako kimasomo semester hii. Endapo ukihisi hivyo haraka sana tafuta ushauri wa wataalamu...
 
Hawa ndio wanaobakizwa vyuoni kwa kigezo cha matokeo mazuri, ona akili yake eti anakutisha kwa kukuandikia mesej?!! hajui ni kumbukumbu?! Hajui inaweza kutumika kama ushahidi dhidi yake?!

Hizi ndizo upper classes zinazobakizwa kama hazina vyuoni. Stupid through and through!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…