tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
aaah aaah hyo kali, swala analiwa mate!!Safi saana,kuna thread moja inaendana kidogo na hii,ilikuwa inaitwa'mwongo akihadithia'.....nikamfukuza yule swala,nikamkamata na kisha nikamlaza chini,(mara akapigiwa simu).Aliporudi,akauliza,eenh nilishia wapi,akajibiwa,'pale ulipomlaza'....basi bwana,nikamvua nguo kisha nikaanza kumla mate!
Ukiwa mwongo uwe na kumbu kumbu nzuri.Duh noma. Ila inatufundisha nini?
jamani saa zingine muwe mnatulia basi, jokes zingine mutafanya mbavu ziume sana...Katikati ya lecture jamaa akaanza kuuza chai, "enzi hizo nipo kijijini nilikuwa nakimbia balaa, kuna siku nilimkimbiza swala mpaka nikamkamata..." kabla hajamalizia simu yake iliita na akaenda kuongelea nje, aliporudi akawauliza wanafunzi niliishia wapi? Wakamwambia pale ulipomkamata.. Akaendelea..." nilipomkamata nikaanza kumdunda mangumi, nikamwambia unalipa au hulipi hela yangu..."
aaaaaaaaaaaaaaah aaaaaaaaaahjamani saa zingine muwe mnatulia basi, jokes zingine mutafanya mbavu ziume sana...
Hiii chai ya udsm walahi kama sio Dr.Rwaitamba bac atakua ni Prof mshoro wa Ardhi aliyekua Udsm enzi zileeeeeeeeeeeKatikati ya lecture jamaa akaanza kuuza chai, "enzi hizo nipo kijijini nilikuwa nakimbia balaa, kuna siku nilimkimbiza swala mpaka nikamkamata..." kabla hajamalizia simu yake iliita na akaenda kuongelea nje, aliporudi akawauliza wanafunzi niliishia wapi? Wakamwambia pale ulipomkamata.. Akaendelea..." nilipomkamata nikaanza kumdunda mangumi, nikamwambia unalipa au hulipi hela yangu..."
Ukiwa mwongo uwe na kumbu kumbu nzuri.
Tuwe waongo hadi tumshinde shetaniDuh noma. Ila inatufundisha nini?