mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
- Thread starter
-
- #141
Teh teh teh.....yan ni ---- huyo mpaka kakimbilia mahakamani Zulu Mboonane yaan papuchi yangu anaikatia rufaa
HAHAHAHAHA MISS STRONG chezea PAPUCHI WW hope hajafanikiwa mpaka leo
mkuu chuo naogopa kutaja ila kpo mkoani ncje nikafanyiziwa bure watu hawakawii
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
Huyo mpenzi wako mi namfahamu hana utulivu kuanzia mavazi mpaka tabia... hivyo lazima aliwe na hata akiend kusema kwa nani cuz mwisho wa siku atawekewa D ambayo itaonyesha ame carry Reasearch so lazima atarudi huko mkoani mwaka ujao.kwa kifupi mpenzi wako hana utulivu hata kidogo...! I know her!! much!! much!!! more!Default Lecture anamtaka mpenz wangu!!
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
Sio ustaw wala nini.....!nina kesi huko na lecturer wangu alitaka kunidinya mie.Wanapenda mizigo kama nini,unaweza hata kushikishwa ukuta.
mnhhhhhhhh
your choice of words....so...arousing lol
miss strong pole sana but huyo alotaka kukudinya ilikuwaje? Aliomba mdinyo akiwa sehemu ya kazi? Alitumia mbinu gani kuufikisha ujumbe? sorry lakini mamii.
miss strong pole sana but huyo alotaka kukudinya ilikuwaje? Aliomba mdinyo akiwa sehemu ya kazi? Alitumia mbinu gani kuufikisha ujumbe? sorry lakini mamii.
mnhhh yaani hili neno kudinya nikilisikia sijui nakuwaje lol
Unafikiri kufikisha ujumbe kwao ni inshu hao watu......aliniambia anataka nimpe kitu changu.Nikaona anataka kuniletea balaa mimi ukizingatia records zake si nzur,alafu ana force upuuz huo MwanajamiiOne
Okay mamii mie nilidhani kuna tofauti na mahali na namna alivyofikisha ujumbe. Mfano kama alikuambia/ kuomba minyo mkiwa ndani ya ofisi, darasa au chumba cho hotel......... alikuomba/lazimisha/taka kwa nguvu, kubembeleza au kwa sms? Hapo kwenye kuzingatia records zake sidhani kama palikuwa na haja as long as unahisi kuwa HASTAHILI Kutokana na hadhi yake kama mwalimu wako huna haja ya kuwa worried wala kucheck records zake.
Wanafunzi tunatabia yakuambiana juu ya walimu wanaotufundisha...!
Sio lazima ziwe mbaya tu hata nzur pia husemwa ingawa mara nying sifa mbaya huvuma sana....
Records mbaya pia nikigezo,mwalimu anaweza akawa hana mke na anamuhitaj binti huenda sasa anataka kumuoa lakin once utakapokuwa na record mbaya unafikir itajengeka nini kichwan kwa mtu?@MwanajamiiOne
Acha amchukue kwani wewe uko hoi, hata kuandika lecturer huwezi. Uko chuo gani kwanza?
Okay mamii mie nilikuelewa ndivyo sivyo, kuwa kama ungekuta record ni nzuri ungemfikiria au? Coz nilijua kuwa as long as ni mwalimu wako (na kama ameutumia ualimu wake) kukuomba mdinyo ndio ingekuwa ishu ya kushtaki. Ndio mana nikauliza mlikuwa wapi wakati akikutaka maana unajua nao ni binadamu? Na unajua kuwa hata ikigundulika kuwa lecturer na mwanafunzi wake wamependana genuinely kuna taratibu zinazofuatwa ili kuheshimu 'maamuzi yao?'
Sina shida na mtu aliye na uhusiano wa kimapenz na mwalimu coz once mtu anapokuwa chuon ni mtu mzima na ana maamuz yake,tatizo ni mtu kutumia ualimu wake sasa au ile dhamana yake kumtaka mwanafunz mpaka kupelekea kumdhurumu haki yake kwa kofia ya ulecturer wako
Mapenzi ni makubaliano kwani lecturer ni nan mpaka akubaliwe na yeyote,mimi binafsi nimekataa ila yupo atayekubali.Ila kukataa kwangu isiwe kigezo chakuninyima haki yangu ya msingi iliyonipeleka chuo.
Good, hapo tuko kwenye ukurasa mmoja mamii.