mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
- Thread starter
-
- #61
hapo nimekusoma best. Sasa nae huyu form four failure kwa nini asitafute mwanamke wa design zake? Mi naona huyu wa chuo awaachie wasomi wajivinjari nae.
mkuu elimu yangu form 4 .ni v2 gan hvo nijuze ndo mana nikaomba msaada hapa
mkuu chuo naogopa kutaja ila kpo mkoani ncje nikafanyiziwa bure watu hawakawii
sweetheart, kwenye research hakuna kitu kinachoitwa incomplete, hakuna matokeo ya incomplete kwenye research ni either amefaulu (pass) au amefeli (fail). Nakushauri kuanzia sasa jifunze kuwa makini na kuelewa hizo terminologies ndugu yangu
Mapenzi hayachagui hayo yote.....!
okay shemeji binamutz ikiwa critical feel free to pm me nitakusaidia. Ila tu nakuomba kuwa zaidi ya mdadisi kwa kila anachokwambia hiyo mdada
Mwambie aache woga, ajitahidi kuwa makini katika report ya hiyo research yake. Kama ana mashaka sana basi amuone "academic advisor" au "dean of students" hawa watu wapo kwa ajili ya kesi kama hizo!mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
HAHAHAHA kipnd kle ukiandikiwa hvo chuoni kwe2 ujue ni sup moja kwa moja huna haja ya kumtafuta mwalm coz atakupa matusi mpaka ujute kumtafuta na hakusaidii
so jina la huyo lecturer ndo kama hyo id yako hapa?
mwambie aache woga, ajitahidi kuwa makini katika report ya hiyo research yake. Kama ana mashaka sana basi amuone "academic advisor" au "dean of students" hawa watu wapo kwa ajili ya kesi kama hizo!
malalamiko gani? Weeeeeeeeeeeee! Thubutu yake! Nchi ishauzwa hii. Mwenyewe nimefanyiwa fitna ila nimenyuti tu! Hata angenipa supu 100, nitazifanya tu ila sio kungoa jino simba na mkono!!!!!!!!!!
Chozi la mnyonge lalipwa kwa mungu baba.
niliwai mteka lecturer kwa issue hizo.nilikodi watu 6 kipind niko chuo. Walichofanya hao vijana 6 walimliberal na kumrecord video.
Huyo lecturer alikuwa anasumbua sana mabint wengi japo alikuwa ameoa na watoto 6.
Ile video nikamtumia wife yake atimaye waliachana pia nikatoa copy nying nikazimwaga chuo. Yule lecturer alikimbia chuo sasa hiv nasikia ni mkulima.
Hii ilitokea nchi fulani ya mbali siwez itaja.
Ila nilimtumia barua ya kuomba samahan lakin sikuandika jina. Nimetubu.
pole sana una hella wewe au?
incomplete means disco
Mkuu ashasema sio Bongo ni mkoani sasa itabidi nije tuweke jopo au wasemaje??Ebu msaidie mshkaji asipate mawazo bure lol
mkuu ashasema sio bongo ni mkoani sasa itabidi nije tuweke jopo au wasemaje??
Mkuu ashasema sio Bongo ni mkoani sasa itabidi nije tuweke jopo au wasemaje??